maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Uko sahihi mkuu Haya maisha makatili sana ukiwa kapukuFanya juu chini uwaachie watoto urithi wa kueleweka ili wakati wao wa kuhangaika na maisha ukifika waanze wakiwa hata na moja na sio Negative
Uko sahihi mkuu!!mtafute mungu sana kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote
Mkuu unatudanganya.
Mbongo by 35 uwe na mke watoto wawili biashara na ufugaji??
Geraaaurihia.
Wewe ni muongo ndugu;Ww kumiliki akili ni ngumu
Mtu wa 35 kibongo Bongo anatakiwa kuwaje?Wewe ni muongo ndugu;
Haya uliyoandika hapa ni ndoto tu ;
Endelea kujiliwaza.
Dah aseeWewe ni muongo ndugu;
Haya uliyoandika hapa ni ndoto tu ;
Endelea kujiliwaza.
Hakuna mbongo by the age ya 35 ameacomplish vitu vyote hivyo.mm sijakuelewa.
amechelewa? Amewahi? Watoto wachache? Au watoto wengi? Au kumiliki biashara na ufugaji kwa age hiyo?.
Nn hasa unahisi hakiko sawa.
Kwa unyenyekevu Naomba tujibu tafadhali Stroke
Hakuna mbongo by the age ya 35 ameacomplish vitu vyote hivyo.
Mifumo yetu inahitaji nguvu za ziada kutoboa.
35 ni mtoto mdogo sana ,
Huyo dogo kapiga bangi yake anatusumbua tu hapa.
Hapa mistake kunishika masikio sitakubali.πππππ
Samahan kwa kukucheka bro.
Ila kabla ya kukujibu.
ww unakaa wap?.
Safi sana mshana jr we huwa ni mkweliTafuta sana hela maisha ni katili lama huna kitu mfukoni