Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

Mimi watu walio ajiliwa na wa bongo hata sielewagi akili zao ziko je? Mtu acontrol mda wangu uhuru wangu kwa 30dys unanilipa kiasi gani hicho? I value my freedom kuliko hizo laki 7 zako.
Kwaio unafanya shughuli gani sasa?
 
Daaah mwana kosaa kubwa sana hilo jmosi hutaona utamu wa kupumzika.
 
Unamkomoa nani?
 
Una familia? Au unaishi geto peke yako huku ukijifukiza bangi?
 
Ndugu mshukuru Mungu kwa kuwa na kazi , wengine wanalilia kazi na hawapati, huo uvivu unaoupata basi utakufanya uwe masikini katika maisha yako . Ukemee huyo ni shetani anakutafuta.
 
Production inapunguaje sasa? Akati umesema Kuna watu wengine wapo ready kwa kazi in case haupo si wanakureplace tu
Sio kila sehemu kuna watu, mfano ofisi za serikali mtu kajisikia haendi tu, nani atamreplace? Ile kazi yake ya siku hiyo haitafanyika. Ndio maana unakuta mtu wiki hii anaumwa, wiki ijayo mtoto anaumwa, inayofuata jirani kafa basi wiki ya mshahara ndio ataonekana ofisini
 

Naelewa Mkuu I was kidding [emoji23]
Maisha ni kupambana mpaka siku mwili unagoma kwenda au kufanya kitu
Mbali na hapo ni kufanyishwa au kufanya mwenyewe

Majukumu hayaishi na tumbo halina shukurani yaani kila siku linataka
 
Naanza kuwaelewa wazungu wanavyopenda kuuliza “Do you love your job” hahaha
 
Kiukweli wengine hawajaumbwa kuajiriwa, na wakiajiriwa huwa wanaona wanateseka sana, mtoa mada upo kwenye hilo kundi nakushauri fanya mpango wa kuacha kazi. Mm nipo kwenye hilo kundi, ajira yangu ya kwanza niliteseka sana, mkataba ulipoisha sikuongeza mwingine
 
Brother, hiyo inaitwa routine.. inawezekana ya kwako inakuchosha lakini routine ni muhimu sana kwa afya ya mwili na akili ya binadamu.. ni rahisi mtu asiye na ratiba inayoeleweka kuathirika na msongo wa mawazo hasa anapopata changamoto za maisha
 
Ndugu mshukuru Mungu kwa kuwa na kazi , wengine wanalilia kazi na hawapati, huo uvivu unaoupata basi utakufanya uwe masikini katika maisha yako . Ukemee huyo ni shetani anakutafuta.
Sawa ila acha hao wasio na Kazi wapate Kazi ili waone Kazi kufanya Kazi
 
Hii nayo ni techniques safi sana, lakin ni mbaya kama kazi ni ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…