Kwenye hizi cross examination ndio unagundua Chadema hakuna viongozi wa siasa bali wababaishaji tu.
Mimi siyo mwanasheria lakini wabongo tunakosea kuja na conclusion kwa vitu ambavyo viko mahakamani hususan vinavyowahusu wanasiasa. Kitu ambacho kinatakiwa ni kesi iendeshwe kwa haraka na hukumu itoke, ila sisi kuja na hukumu zetu za ushabiki unatengeneza fursa ya kuona kinachofanyika mahakamani hakistahili na hukumu zinazotolewa na mahakama kuonekana hazina maana.Mkuu Mimi sibishi... Nazungumzia fact
Na Wala Sina mihemko kama unavyofikiri...
Kifupi ni kama ukamatwe na Polisi kwa wizi....Kisha Mahakamani ufunguliwe kesi ya ubakaji...
Hii kesi ya Lissu kuhusu Nia ya kuitisha Serikali haipo mpaka Sasa... Uhaini haupo mpaka Sasa...
Kesi ingetakiwa... Kuchochea Umma kuleta vurugu... Kuchochea Umma wafanye uharibifu wa miundombinu
Sio toka jana, hata na kesho ikilazimu, kiongozi ana wajibu wa kutoa ufafanuzi kwa wanachana wake.Lipi?
Toka jana uko na Heche eti atoe ufafanuzi wa tuhuma gani sijui, Kiongozi atatoa ufafanuzi wa kila kitu kinachoendelea kwenye socials na sio kwenye vikao vya chama?
kazi hiyo ni ya kwenu makafiri wa Zanzibar.Asante kwa kukubali kuwa unakazwa
Hapo uovu ni upi kwamba hela zake ni za magendo? Unajua Mbunge mshahara wake ni kiasi gani? na hapo hujazungumzia marupurupu yote, na Kuna kiasi kikubwa wanapokea baada ya kumaliza miaka yake mitanoLeo Heche wamemkamata.
Katuga kashamlegeza hapo sijui kama Heche anaujanja tena.
Ukishamtoa mtu uaminifu, na kumfichua mafichoni kwa kumvua nguo. Kinachofuata ni kujipigia.
Anaonekana kuwa na michezo ya sirini na CCM, anatakiwa aje kutoa ufafanuzi wa tuhuma zinazomkabili, na sio kuwaona wabaya wanaomtuhumu.Tatizo ambalo analo Heche ni lipi?
Tatizo hii kesi haiusiani na icho unachotaka kifafanuliwe..Sio toka jana, hata na kesho ikilazimu, kiongozi ana wajibu wa kutoa ufafanuzi kwa wanachana wake.
Sio nyie huwa mnasema Chadema ni chama cha watanzania?
Au leo ndio kimebadilika kuwa chama cha wajumbe wa KK!.
Waongo kuliko Samiah aliyeaapia kwenye kambi za majeshiTENA NI MATAPELI WA MJINI
WATU WANASEMA UWONGO CHINI YA KIAPO MBELE
YA
ULIMWENGU MCHANA KWEUPE
PALE KUNA CHAMA KWELI ZAIDI YA WEZI TU WA
RUZUKU NK❗️
WAMETUIBIA SANA
WAHUNI AWA🫎✍️
Hiyo takwimu ya "wasomaji wengi" umeitoa wapi!!?Utaki wewe kama nani 🫎❗️
Wasomaji wengi wanaitaji kujua Tathmini yake kwa hamu kubwa✍️
Umekazania hoja yako, unapanuliwa nini?kazi hiyo ni ya kwenu makafiri wa Zanzibar.
Yaani kama ameingiziwa pesa leo na mtu asiyemjua, pia yeye amesema kwasababu ya kuoneshwa utajuaje kama huyo Salha sijui ameingiza pesa kwa niaba ya mtu mwingine? Hoja ya Wakili imekaa tenge sana.Hilo la gari kapigwa.
Hilo la Huyo jamaa ambaye amesema hamjui alafu akasema anamjua baada ya kuonekana pesa zimeingizwa kwenye akaunti. Amepigwa.
Na baadhi ya taarifa za kiuchaguzi.
Yaani hata utukane vipi lakini jambo liko pale pale hiyo biashara yako inakutosha wewe na ukoo wako.Umekazania hoja yako, unapanuliwa nini?
Hiyo takwimu ya "wasomaji wengi" umeitoa wapi!!?
Mzee wangu wa Demography Prof. Sichona aliwahi niambia kuwa mtu anayeongelea wengine bila tafiti, huyo ni kilaza pro na muongo zaidi ya shetani.
Acha wivu wa kijinga.Kumiliki mali ndiyo uanaume.Hii kesi ndio tumejua mbivu na bichi
Watu Wanakataa Ukweli mbele ya kweli macho makavu👀👀
JOHN HECHE
1) kaikataa Saut yake
2)kamkataa SELE kisa milioni 20
3) kumiliki Magari yupo nayo ma 5
Kadai mawili tu
4) kaikataa media kutumiwa
na Lissu
Mshangao na Lissu kataka jibu liwe kukataa yeye kutumia media kuongea na watz🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
Kakataa mengi tutayaweka apa muda mwafaka!!
🫎 BADO tuwape
Nchi
kuongoza❗️❗️🤔
Timing the time,Anaonekana kuwa na michezo ya sirini na CCM, anatakiwa aje kutoa ufafanuzi wa tuhuma zinazomkabili, na sio kuwaona wabaya wanaomtuhumu.
Aku sisi watu wa Mungu. Wewe kama unakatwa shauri yako.Yaani hata utukane vipi lakini jambo liko pale pale hiyo biashara yako inakutosha wewe na ukoo wako.
Kwanza kabla hujafika conclusion yako kuhusu namna ya hao mawakili walivyopata hizo taarifa za account unajua Kuna taratibu zipi za kisheria zinazowaruhusu hao kufanya hivyo?Yaani mfano Mimi niende bank flani.. niombe miamala Yako...
Kwanza watashangaa... Huyu mtu vipi ..unawezaje kuja kuomba miamala ya mtu mwingine?
Mimi ni wakili... Sawa unakibali Cha Mahakama ?
Na kibali lazima kiseme Sababu... Huyu anafanya labda biashara haramu.. au anatakatisha pesa...
Lakini kumbuka wakili haruhusiwi kufanya uchunguzi Bali ni Polisi ...
Kwa hiyo Hawa jamaa ..Mawakili wa Serikali wanabebwa na mfumo