Sasa we nae kama sio upumbavu..kwa akili ya kawaida mtu ambae amewahi kuwa mbunge kwa miaka mitano atashindwa kuwa na hayo magari matano?Usijali, nawachagua wachache wanaoeleweka
Tatizo ndio hili, kujigeuza msemaji wake.
Hapa suala sio kujibu kila siku, anatakiwa aje na majibu ya kujitosheleza ajibu biashara iishe, sio kumjibia kama hivi mnavyofanya yule ni kiongozi wa chama cha umma ana wajibu wa kufanya hivyo.
Haya mambo hayataki kupelekana kwa huruma huruma, hiyo huruma yako kwake inaweza kumuumiza mwingine, haya yaachwe yaende kwa uwazi kila mtu aone na ajue.
Na hata kama akitakiwa kurudi tena kurudi kwa public kutoa clarification ana wajibu wa kufanya hivyo mpaka hili jambo liishe.
Hakuna haja ya kumtetea, wakati akichukua form kugombea alijua wajibu wake kwa public, na sasa ndio wakati wake kutimiza wajibu wake.
I didn’t appeal to pity … umeipima wapi huruma yangu dhidi ya Heche?Usijali, nawachagua wachache wanaoeleweka
Tatizo ndio hili, kujigeuza msemaji wake.
Hapa suala sio kujibu kila siku, anatakiwa aje na majibu ya kujitosheleza ajibu biashara iishe, sio kumjibia kama hivi mnavyofanya yule ni kiongozi wa chama cha umma ana wajibu wa kufanya hivyo.
Haya mambo hayataki kupelekana kwa huruma huruma, hiyo huruma yako kwake inaweza kumuumiza mwingine, haya yaachwe yaende kwa uwazi kila mtu aone na ajue.
Na hata kama akitakiwa kurudi tena kurudi kwa public kutoa clarification ana wajibu wa kufanya hivyo mpaka hili jambo liishe.
Hakuna haja ya kumtetea, wakati akichukua form kugombea alijua wajibu wake kwa public, na sasa ndio wakati wake kutimiza wajibu wake.
naona mnafiki umeibukaLeo Heche wamemkamata.
Katuga kashamlegeza hapo sijui kama Heche anaujanja tena.
Ukishamtoa mtu uaminifu, na kumfichua mafichoni kwa kumvua nguo. Kinachofuata ni kujipigia.
Hiyo kesi ilikuwa inarushwa na serekali mubashara, gafla wakaacha. Sasa unadai wajibu kwa aliyejitolea huku ukiwaacha wenye wajibu! Serekali ingerusha live tuonr kila kitu bila kusubiri hisani ya yoyoteRipota, ukiona Katuga anauliza maswali tusiyopenda kuyasikia piga kimya, usiripoti humu
Mkuu hizo video hazipo mahakamani lakini zimetumiwa kupima credibility ya shahidi.
Hiyo miamala haipo mahakamani lakini Katuga kaitumia na Heche kajichanganya kasema anamfahamu huyo jamaa aliyesema hamjui.
Kuhusu Kadi za Magari.
Katuga kazileta hizo kumshinikiza shahidi aseme ukweli kuhusu umiliki wa magari yake. Kama alisema anamawili au matatu alafu katuga ameleta kadi tano za gari. Na Heche akathibitisha ni gari zake huoni kama Heche ushahidi wake unapunguzwa uzito?
Msamehe!!!I didn’t appeal to pity … umeipima wapi huruma yangu dhidi ya Heche?
Nakuambia kuhusu utaratibu, Chama kina taratibu zake dhidi ya kujibu mashambulizi, nimekupa mfano wa Tonetone Mnyika alikuja kujibu kwa niaba ya Heche na Chama kwa ujumla.
Ili usinione mimi kama msemaji wa Heche nadhani ulitarajia Heche aje kujibu hii comment yako sio?
Mkuu Mimi na wewe hatufahamiani lakini nilikutumia pesa kwenye account yako utanifaham kwa jina. Swali lilikua tata, anamfaham kivipi. Ndio maana mwanzo kakataa hamfahamu mtu huyo ila alipoulizwa muamala kamfaham kama jina lililoingiza Hela kwenye account yake. Au kisheria ikoje hiyo maana Hela unaweza kutumiwa na mtu yeyote iwe unamjua au haumjuiMkuu hizo video hazipo mahakamani lakini zimetumiwa kupima credibility ya shahidi.
Hiyo miamala haipo mahakamani lakini Katuga kaitumia na Heche kajichanganya kasema anamfahamu huyo jamaa aliyesema hamjui.
Kuhusu Kadi za Magari.
Katuga kazileta hizo kumshinikiza shahidi aseme ukweli kuhusu umiliki wa magari yake. Kama alisema anamawili au matatu alafu katuga ameleta kadi tano za gari. Na Heche akathibitisha ni gari zake huoni kama Heche ushahidi wake unapunguzwa uzito?
Wewe una panic haraka sana.I didn’t appeal to pity … umeipima wapi huruma yangu dhidi ya Heche?
Nakuambia kuhusu utaratibu, Chama kina taratibu zake dhidi ya kujibu mashambulizi, nimekupa mfano wa Tonetone Mnyika alikuja kujibu kwa niaba ya Heche na Chama kwa ujumla.
Ili usinione mimi kama msemaji wa Heche nadhani ulitarajia Heche aje kujibu hii comment yako sio?
Unapiga siasa 🤣 🤣 🤣 🤣..Hivi kwa mfano, Katuga akimuuliza Heche kuhusu vimada wake, na Heche akadanganya, inasaidia vipi upande wa mashtaka?
..suala la magari ya Heche halihusiani na shauri lililoko mahakamani.
..Heche kudanganya kuhusu magari hayo haimaanishi kwamba amedanganya kuhusu madhila na dhuluma wanazofanyiwa wapinzani ktk uchaguzi.
..Katuga anapaswa kum-challenge Heche kuhusu ushahidi alioutoa na sio kuhusu mambo yake binafsi.
..Kwa hiki alichofanya Katuga kinadhihirisha kwamba upande wa mashtaka una wakati mgumu ktk kesi hii.
..Mimi nimebahatika kufuatilia kesi ya uhaini ya Hatibu Ghandhi na wenzake. Katika kesi ile mawakili wa serikali kama William Sekule, Johnson Mwanyika, Kulwa Massaba, George Mlawa, hakuwa wakifanya mambo ya kitoto kama haya wanayofanya Katuga na wenzake.
Napata shida sana kuelewa maandishi ya "mm", " tayali" na jina (mwajuma) kuanza na herufi ndogo!
Naamini kuwa kuna kikundi kimeajiri watu masikini, vilaza na mbumbumbu huku mitandaoni ili wawalipe ujira kidogo.
Hizo hizo ripot za kiingereza zinakanushwaga na msemajibwa serikali akitumia lugha ya kiswahili. Je nae anahemkaga?Mahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.
Anachosema hapo jamaa ni kwamba Heche kwenye upande wa Logic keshawekwa kwenye kona. Na kila swali linaloulizwa lina umuhimu wake wewe usifikiri hayo maswali hayana maana hata kama yanaonekana ya kitoto.
Heche anaonesha hali halisi ya viongozi wa Chadema na wafuasi wao kwamba huwa wanafikiri kitu kikisemwa na Taasisi ya Kimataifa, au mtu maarufu au chombo cha habari maarufu basi wanaweza kukitumia bila kujiridhisha.
Wafuasi wa Chadema tumieni hii kesi kujifunza namna mahakama zinavyofanya na siyo kutumia mihemko na maneno ya kutiana moyo. Kuna mwanamke huko marekaji kesi yake imeshindwa kuamriwa pamoja na kwamba aliaua watoto wake watatu.
Wafuasi wa Chadema na Watanzania tutumie hizi kesi kujifunza. Itatusaidia kutofanya vitu kwa mihemko kwani mahakamani au kwenye kudai haki hakuna mihemko
Mkuu kwenye ushahidi huo huo ndio utajua kwenye vyombo vya dola hakuna watumishi bali uchafu wa hali ya juu.Kwenye hizi cross examination ndio unagundua Chadema hakuna viongozi wa siasa bali wababaishaji tu.
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI
SEHEMU YA 18.
Nassoro Katuga: Kwanza, umemtaja jina hapa Mahakamani?
Heche: Sijamtaja.
Nassoro Katuga: Je, alikueleza kwamba amefanya mauaji haya ili akutishe wewe na uendelee na siasa wako?
Heche: Magufuli alisema kuwa mpaka 2020 upinzani utakuwa umeisha.
Nassoro Katuga: Je, alikwambia kwamba amemuua mdogo wako katika kukutisha wewe katika harakati zako za kisiasa?
Heche: Hakuniambia hivyo.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo, sababu za huyo mtuhumiwa kufanya hivyo kwa Suguta Heche zimebaki kwa mtuhumiwa. Hapa Mahakamani hatuna.
Heche: Ni sahihi.
Nassoro Katuga: Unajua au hujui, kwenye jinai, sababu ya kumfanya mtu aachiwe ni ushahidi aidha haujatosheleza?
Heche: Kuna rushwa, upendeleo, sababu ni nyingi.
Nassoro Katuga: Kati ya hayo unayotueleza, wewe ni sababu ipi uliyoeleza ilifanya aachiwe aliyemuua mdogo wako?
Heche: Ni uonevu wa kisiasa na upendeleo.
Nassoro Katuga: Ulisema mtu aliyemuua mdogo wako alikuwa na nia ya kukukomoa na kwamba wanaweza kukufanyia chochote na hatua zisichukuliwe?
Heche: Ni sahihi.
Nassoro Katuga: Huyu mdogo wako anao wazazi?
Heche: Mama yake yupo, ila baba alifariki.
Nassoro Katuga: Ni ukweli, kwa mujibu wa dini na misemo ya Kiswahili, kwamba uchungu wa mwana aujuaye mzazi?
Heche: Ni kweli.
Nassoro Katuga: Kati ya mama yako na wewe, nani anauchungu zaidi?
Heche: Mimi nina uchungu, lakini huyo mama yangu nenda kamuulize yeye.
Nassoro Katuga: Kwa nini walichomfanyia mdogo wako ilikuwa kukukomoa wewe na siyo mzazi wake?
Heche: Mimi najua ni mimi.
Nassoro Katuga: Umeiambia Mahakama huyo polisi aliyemuua alikutishia kwa jambo gani?
Heche: Kunitishia nisiendelee na siasa.
Nassoro Katuga: Ulisema ni mwaka gani ulimpoteza mdogo wako?
Heche: Mwaka 2018.
Nassoro Katuga: Unakumbuka mwaka 2018 masuala ya siasa yalikuwa yamefungwa?
Heche: Mimi nilikuwa Mbunge.
Nassoro Katuga: Ni ushahidi wako hapa kwamba Magufuli alizuia mikutano ya kisiasa?
Heche: Mikutano siyo siasa.
Nassoro Katuga: Umewaambia Waheshimiwa Majaji kuwa huyu polisi aliyemuua mdogo wako alikukusudia kukutishia kufanya aina gani ya siasa?
Heche: Sikueleza aina.
Nassoro Katuga: Ila ni imani yako?
Heche: Sahihi.
Nassoro Katuga: Wewe ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA?
Heche: Ni sahihi.
Nassoro Katuga: Ukiwa Makamu Mwenyekiti, ulihudhuria Kamati Kuu ya tarehe 29 Agosti 2026?
Heche: Sikumbuki mpaka nipitie.
Nassoro Katuga: Unawaambia Waheshimiwa Majaji kwamba unakumbuka vitu vya mwaka 2015, lakini cha tarehe 29 Agosti hukumbuki?
Heche: Sikumbuki.
Nassoro Katuga: Sasa Naibu Katibu Mkuu alituambia kuhusu Kamati Kuu ya tarehe 29 Agosti 2026 kwamba mlizungumzia “Tonetone” zinazoonekana.
Heche: Muulize yeye.
Nassoro Katuga: Waeleze Waheshimiwa Majaji, unakumbuka kikao chochote ambacho Golugwa alisema mpaka sasa mmekusanya milioni 302?
Heche: Taarifa ya fedha huwa inaletwa Kamati Kuu.
Nassoro Katuga: Kwa wakati wowote umewahi kuletewa taarifa ya fedha kwamba kuna milioni 302?
Heche: Kamati Kuu imeletewa.
Nassoro Katuga: Ni lini ambapo Kamati Kuu ilikaa na kuletwa taarifa hiyo ya fedha?
Heche: Sikumbuki.
Nassoro Katuga: Unakumbuka au hukumbuki kuwa siku hiyo hiyo ndiyo mlizungumzia kuhusu kesi hii?
Heche: Siyo kweli.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo, taarifa ya Naibu Katibu Mkuu kuwa Kamati Kuu imekaa na kuazimia viongozi waelekeze nguvu zao katika kumtetea Mwenyekiti...
Lissu: Shahidi, usijibu swali. Jibu maswali ya watu.
Heche: Si kweli.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo taarifa ya Naibu Katibu Mkuu kuwa Kamati Kuu imekaa na kuazimia viongozi waelekeze nguvu zao katika kumtetea Mwenyekiti, ni taarifa sahihi au siyo sahihi?
Heche: Siikumbuki hiyo taarifa.
Nassoro Katuga: Nilikusikia ukiwaambia Waheshimiwa Majaji Bwana Ezekiah Wenje alinusurika kuuawa, akakimbilia Kenya.
Heche: Kweli.
Nassoro Katuga: Ulikuwepo?
Heche: Sikuwepo alikimbia.
Nassoro Katuga: Kwa hiyo huu ushahidi ni wa Wenje?
Heche: Kweli alikimbia.
Nassoro Katuga: Uliiambia Mahakama alinusurika kuuawa na nini?
Heche: Sikueleza muulize yeye.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sahihi nikisema mzalendo ni mtu anayependa nchi yake?
Heche: Sahihi.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sahihi nikisema mzalendo si mtu anayehimiza kuharibu nchi yake?
Heche: Sahihi.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sahihi kusema mzalendo ni mtu anayehimiza ujenzi wa taifa lake?
Heche: Wapo wanaohimiza, lakini si wazalendo.
Nassoro Katuga: Nitakuwa sahihi nikisema mtu mzalendo, pamoja na uzalendo wake, atahamasisha familia yake kujenga nchi yake?
Heche: Siyo lazima.
Nassoro Katuga: Unajua au hujui Tanzania hatuna uraia pacha?
Heche: Najua.
Nassoro Katuga: Unajua au hujui kuwa Mwenyekiti unayemuita mzalendo, familia yake (watoto wake), Mwenyekiti si raia wa Tanzania?
Heche: Hilo sijui.
Nassoro Katuga: Unajua au hujui mke wa Mwenyekiti unayemuita mzalendo siyo raia wa Tanzania?
Heche: Hilo sijui nachojua ni Mkurya.
Nassoro Katuga: Ni kweli au si kweli uliiambia Mahakama kwamba Sinda Geteba alikuwa mgombea wa Udiwani CCM, kwamba alichukuliwa na RCO mpaka leo haonekani?
Heche: Ndiyo.
Nassoro Katuga: Ni ushahidi wako?
Heche: Niliambiwa na mdogo wake.
Nassoro Katuga: Ukasema na Tall pia?
Heche: Ndiyo.
Nassoro Katuga: Uliiambia Mahakama amechukuliwa na nani?
Heche: Sikuiambia.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Hapo umezungumzia scenario ya kuwa na mashaka juu ya miamala ya mteja fulani ndipo huo mtiririko unafanyika..Huwa inatokoka ripoti kutoka BOT...au Benki husika kwamba Kuna miamala hatuna Imani nayo...
Polisi kitengo Cha fedha haramu ndio wahusika wakuu katika kuwa na hizo documents....
Sasa wakili wa Serikali anapataje hizo documents?...Maana Polisi haruhusiwi kuzigawa ...ni confidential
Na kweli wengine wanasemaga watailinda na kuiheshimu katiba lakini wapi?TENA NI MATAPELI WA MJINI
WATU WANASEMA UWONGO CHINI YA KIAPO MBELE
YA
ULIMWENGU MCHANA KWEUPE
PALE KUNA CHAMA KWELI ZAIDI YA WEZI TU WA
RUZUKU NK❗️
WAMETUIBIA SANA
WAHUNI AWA🫎✍️
Mkuu ungeweza kutetea hiki unachotaka kutetea bila kuitaja Marekani, kwenye suala la utendaji wa mahakama, Marekani na Tanzania ni vitu Viwilli tofauti kabisa.Mahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.