Leo tarehe 9 September Apple wamezindua iPhone 17 series na accessories nyingine!

Sawa, swali hao wanaomiliki hizo Samsung nao wanaumiza sehemu za miili yao?
Maana hakuna utofauti wa gharama lakini nashangaa watumiaji wa iPhone kuambiwa wanaumizwa.!!

Watumiaji wa Samsung, asilimia 80 wanajinunulia na hawaendi na trend la kika toleo kama wale wa Iphone.

Kuna kundi kubwa la watu wa Iphone ni wazee wa kumaintain status, Kila new latest phone wanaitaka, na uchumi unawakataa sasa ndo wapenda vinyeo wanapata fursa hapo.

Any way,
Watu wapate simu kali kwa njia yeyote hile halali 😂
 
Simu ya dollar 1,110 ukaumize kinyeo?
Labda km huyo mtu ni michezo yake.

Hivi hakuna Samsung za dollar 1,110?
Na nyie watumia Samsung huwa mnaumiza vinyeo?
Ni msemo tu wala hauna uhalisia. Nani atoe zaidi ya 2 million kwa ajili ya kiny**
 
Marinda yapo shaka shakani
 
Mkuu hii Id yako ina maana gani?Nimejaribu kusoma niielewe nimeshindwa
 
Mkuu hii Id yako ina maana gani?Nimejaribu kusoma niielewe nimeshindwa
Shangani ni mtaa wa kishua Mtwara, nakumbuka mara ya mwisho niko kule kulikuwa hakuna daladala ( kwa kama 80% zinatumika na magari private ).

Idea ilitokea hapo tu, hata sio kitu serious hivyo.
 
Watu wamekariri iphone ni ghali. Labda huwa wanalinganisha na TECNO au Infinix. Iphone 17 pro max ni euro 1400 tu ambayo ni karibu sawa na Huawei pura 80 ultra, sawa na galaxy z fold 7,wakati huo huo

Huawei Mate XTs Ultimate ni zaidi ya euro 2000​

Sony experia 1 VII ni zaidi ya euro 1400 na zingine nyingi
Oppo Find X8 pro
Honor Magic V3
Pixel 10 pro XL
Xiaomi 15 Ultra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…