Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

Status
Not open for further replies.
Huenda janja ni mlengo huo gizani, yaani kaji pinda kuandika role model wa ukoo wake halafu kaishia kutaja wagawa homuz.

Kwenye kikao kijacho atadeki hall yetu huyu, na kuosha vyombo tulivyo lia chakula.

Kuna watu wanafurahisha Sana
Lakini wote ni viumbe wa Mungu
 
Akili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.
Umetisha machine walikua wanawakamata kama kuku na kuwauza kwa kikombe kimoja
 
Wewe ni bro nakuheshimu mnoo
Ila una haki ya kusema hivi
Kama tu na wewe hukuwahi kuharibu binti wa wawatu ila kama huyo mkeo sio wa kwanza kwako wewe pia ni mharibifu na unakosa uhalali wa kunyoshea kidole wengine
 
Akili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.

Walioa bikra wanaamini kwao ni ngumu kuchapiwa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… watupie namba tuwashangaze
Ndo maana nimewashangaa watu wapo nje ya muda mabikra wasikuhiz wanawajua wanasikia
 
nakazia watoe namba 72 hrs madem zao tutakuwa nao duban wamechanua miguu๐Ÿ˜‚
Pumbavu

Tatizo la wala used mnafikiri hofu mliyonayo ninyi ni sawa na wala vitu vipya.

Wanaume waliooa wanawake bikira hawanaga hofu kwa sababu wao ni namba Moja. Wamewakuta wanawake wakiwa sio Malaya.

Wao ndio wamewafundisha hayo yote ambayo nyie mkija mnasema wanawake wabaya sijui hawaeleweki. Lakini waliowabikiri mbona wanawaelewa.
 
Umejuaje hawana hofu bwashee?
 
Sina hofu mkuu toa namba demu wako atakuja kukusimulia magoli๐Ÿ˜‚
 
Akili kama hizo zenu wasaka bikira ndio zilisababisha babu zako wakatawaliwa kirahisi na kuchukuliwa utumwani na watu wachache waliokuwa wanahangaika kujua bahari zinaishia wapi wakati babu zako wanakata mauno tu na kutafuta bikira.

Jamii zote mpaka wazungu unaowahusudu wapo wenye mtazamo wa kuoa wanawake bikira.
Dini karibu zote kubwa zinataka watu waoe wanawake wakiwa bikira.

Usitake kuzifanya jamii za afrika zionekane hamnazo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ