Tatizo sio magufuli, pesa imetolewa miaka mingi sana ya kujenga stand, tatizo mvutano kwenye viongozi wa jiji wamejaa ulaku.Magufuli alijenga stand mikoa mingi Arusha akairuka,sijui alikua na shida gani na Arusha
Mama samia anaijenga stand,soko na uwanja
Mama anaupiga mwingi
Hasa mbunge wao ni fisadi nguli.Arusha majitu mafisadi sana kuliko mji/jiji lolote na limeshindikana
Stendi ujenzi uko unaendelea mkuuHivi mbona elimu imeingia muda mrefu sana Bukoba, nini hasa iliwachelewesha kufanya mambo makubwa?
Ubishi?
Ujuaji?
Mlipaswa kuwa mbali kuliko Arusha, Moshi nk
Lakini ukweli mko nyuma, sio stand, masoko wala miundombinu kwanini?
Mbona stand ndogo inapitwa hadi na Mpanda?Stendi ujenzi uko unaendelea mkuu
View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=tQjKerFR1sos2l0_
Bukoba mbona iko vzr tu hasa huko vijijini....ni stendi tu na soko kuu ndo viligombaniwa..
Lakin sasa vinajengwa upya...
Sasa kunajengwa barabara za njia nne, stendi mbili na masoko matatu Bukoba...
Bukoba utakuwa mji mzr tuView attachment 2804748View attachment 2804750
Lindi ndio kitovu cha utalii wa mali kaleTunapambania jiji letu Arusha hatokagi fala.
Yule boya atang'ook tu, alipokuwa mkuu wa Mkoa alijikusanyia pesa hadi sio poaHasa mbunge wao ni fisadi nguli.
we endelea kusema hivyo...mtazidiwa hadi na kigoma...Kigoma wamepanua barabara za kuwa njia nne, wana stendi tatu na airport yao inajengwa upya...Aliyekutangulia amekutangulia tu.
Ni stendi ya Daladala hiyo mkuu...stendi kuu inajengwa eneo lingine tofauti na hapo...km 8 kutoka bukoba mjini kati na ni kubwa sana...mabasi yote wameyahamishaMbona stand ndogo inapitwa hadi na Mpanda?
Kwa mamlaka aliyokua nayo hao wasingefua dafu angeamuaTatizo sio magufuli, pesa imetolewa miaka mingi sana ya kujenga stand, tatizo mvutano kwenye viongozi wa jiji wamejaa ulaku.
Hujui kuna wengine wako mahakamani hadi sasa?
Kilomberi ni eneo dogo sana, hiyo stand ni mradi wa watu tuNi stendi ya Daladala hiyo mkuu...stendi kuu inajengwa eneo lingine tofauti na hapo...km 8 kutoka bukoba mjini kati na ni kubwa sana...mabasi yote wameyahamisha
Yaani nyinyi kilombero ndo mnahitaji stendi kama hii ya Daladala...ndo kinachijengwa Bukoba sasa...
Acha kutafuta pa kupeleka lawama walikuwa wapi kujenga kipindi cha hawamu ya kwanza, pili, tatu na nne?Magufuli alijenga stand mikoa mingi Arusha akairuka,sijui alikua na shida gani na Arusha
Mama samia anaijenga stand,soko na uwanja
Mama anaupiga mwingi
Tatizo la watu wa arusha wajuaji wa kijinga ni wengi, mnakaa kuvutana mwishoe mradi unakufa.Kwa mamlaka aliyokua nayo hao wasingefua dafu angeamua
Hakuna haja ya kuifikia Arusha....Bukoba iwe na miundombinu bora tu ndo kinachohitajika.....B
Bado mna kibarua kizito sana kuifikia Arusha.
Changamkeni na muache ubishi na ujuaji.
Wahaya kuna vitu ninawakubali lakini mna ubishi wa kijinga sana, badilikeni uwezo mnao
Basi watafute eneo zuri katikati ya mji wajenge stendi ya DaladalaKilomberi ni eneo dogo sana, hiyo stand ni mradi wa watu tu
Jiwe hayupo tena,zinajengwa soonAcha kutafuta pa kupeleka lawama walikuwa wapi kujenga kipindi cha hawamu ya kwanza, pili, tatu na nne?
Kwani Jiwe alikwamisha? Sidhani!Jiwe hayupo tena,zinajengwa soon
Mama anaupiga mwingi
Endelea kujitekenya.Jiwe hayupo tena,zinajengwa soon
Mama anaupiga mwingi