Ndio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.Kujiua ni mtazamo wa kijamii ipo siku itabadilika ..Si umesikia kariakoo kuna mfanyabishara kajiuView attachment 3280979
Maisha ni useless ,hakuna kupumzika ..Unalelea watoto wakikua wakubwa wewe binafsi ushachoka.LIKUD huwaga yupo sahihi sana anapowaambia toweni watoto wenu EMS muwapeleke Kayumba. Mambo mengi kwenye maisha hayana maana kabisa.
Hatuwezi kukimbia mfumo uliopo sasa kwa kweli na ndiyo chanzo cha yote ,hizi depression ni hatari sana.Ndio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.
Hata raisi pamoja na mamlaka zake lkn bado anaishi kwa mujibu wa....
Hawezi ishi atakavyo. Mungu ametuumba ili tuishi under control. Bila hivyo hakuna maisha Mr. Na tutajiua kweli kweli Kama tutashindwa kuelewa Mungu anataka tuishi vipi.
Na yeye atatafuta furaha yakeSasa huoni unapata furaha ila yeye anakuja kuteseka ndiyo ubinafsi huo .
kwani wamejinyonga kwa sababu ya watoto?Wale wa Mbeya wliojinyonga hawana watoto...
Binadamu hawaumbwi, Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.Alietuumba alitushikamanisha na upendo kwa watoto wetu. Alitushikamanisha na upendo wa kuishi licha ya shida na majanga mbalimbali ndo sababu asilimia Ni ndogo ya wanaojiua. Pia Ni faida kuishi kwa sababu hujui baada ya kifo Nini kitafuata.
Unajikanyaga watoto wameshindwa kuwapa furaha ,hta uzae tabu ziko pale pale ni kupotea muda tu.kwani wamejinyonga kwa sababu ya watoto?
mtoto huleta furaha kwenye familia, familia isiyo na mtoto haina furaha
kujinyonga kunakuwa na sababu nyingi nyuma yake
So unakubaliana na theory ya LIKUD kutoa watoto EMS kuwarejesha Kayumba?Maisha ni useless ,hakuna kupumzika ..Unalelea watoto wakikua wakubwa wewe binafsi ushachoka.
Watoto wanaweza kwenda nje ya matarajio yako ; wengine wanakuwa mashoga ,vibaka ,shule hawataki ,unamuonea huruma mwanao hana hata ajira yupo yupo tu.
Binadamu asipo kuwepo dunia itarudi kwenye asili yake, yaani itakua bora zaidi na uhai utazidi kuwa na uhakika wa kuwepo zaidi.Liulize hilo ChatGPT ikiwa hatupo hasara inakua ya nani?
Kwani tabu zinaletwa na watoto mkuu? na kwa akili yako unafikiri ukiacha kuzaa tabu zitaisha au utakuwa umetatua tatizo?Unajikanyaga watoto wameshindwa kuwapa furaha ,hta uzae tabu ziko pale pale ni kupotea muda tu.
Ukishaweka neno Mungu maana yake umekubali kuwa chini ya mtesi wako... Bora ajue unaujua unyama wake ili akufutilie mbali kuliko kuwa chini ya utumwa mbaya kuliko zoteNdio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.
Hata raisi pamoja na mamlaka zake lkn bado anaishi kwa mujibu wa....
Hawezi ishi atakavyo. Mungu ametuumba ili tuishi under control. Bila hivyo hakuna maisha Mr. Na tutajiua kweli kweli Kama tutashindwa kuelewa Mungu anataka tuishi vipi.