sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ukitumia vpn ukaweka nchi kama marekani, uk, uarabuni, japan, post inaonekana vizuri tu na pia ukipitia comments kunawatu wa nchi hizo wameipongeza klabu ya Yanga.Hiyo post wamepost kwa ajili ya Tanzania tu, kifupi hawajaipost watu wa nchi zingine waone. Poor 🤣
Pep guardiola akiwa mapumzikoni spain kaiona hiyo post,makolo roho lazima ziwaumeHiyo post wamepost kwa ajili ya Tanzania tu, kifupi hawajaipost watu wa nchi zingine waone. Poor 🤣
Ni maendeleo ya soka nchini, Simba walipostiwa na ligi za waarabu na ikawa faida kwa nchi, Yanga nao wanapostiwa na ligi zilizochukua UEFA ni jambo zuri.....maendeleo hayana utimu,Pep guardiola akiwa mapumzikoni spain kaiona hiyo post,makolo roho lazima ziwaume
😂🤣😅😆😁😄😃😀😁😄😃🙃😅😆😁😊😄Yale matikiti maji ya mwamedi yatakuja kuharisha na ubingwa wa kuanzia raundi ya kwanza
Kwani ni siri? Utopolo ni chekechea (vidudu fc)Yale matikiti maji ya mwamedi yatakuja kuharisha na ubingwa wa kuanzia raundi ya kwanza
hivi kuna timu iliyowahi kumpakata sana simba zaidi ya mabingwa yanga ?Kwani ni siri? Utopolo ni chekechea (vidudu fc)
unauhakika na unacho kinena?Hiyo post wamepost kwa ajili ya Tanzania tu, kifupi hawajaipost watu wa nchi zingine waone. Poor 🤣
Kama nawaona vile walivyo vuta midomo kwa wivu!Yale matikiti maji ya mwamedi yatakuja kuharisha na ubingwa wa kuanzia raundi ya kwanza