Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam.

Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika wa Yanga wameamua kuwapongeza.

INSTAGAM


photo5873020946242189766.jpg


photo5873020946242189764.jpg


FACEBOOK

photo5873020946242189765.jpg
 
Hiyo post wamepost kwa ajili ya Tanzania tu, kifupi hawajaipost watu wa nchi zingine waone. Poor 🤣
 
Hiyo post wamepost kwa ajili ya Tanzania tu, kifupi hawajaipost watu wa nchi zingine waone. Poor 🤣
Ukitumia vpn ukaweka nchi kama marekani, uk, uarabuni, japan, post inaonekana vizuri tu na pia ukipitia comments kunawatu wa nchi hizo wameipongeza klabu ya Yanga.

Ikivuma sana ngoma hupasuka (Puuh)
subirini mwisho wetu utafika tu.
chuki na fitina mtasumbuka sana
eheeeeee////
 
Pep guardiola akiwa mapumzikoni spain kaiona hiyo post,makolo roho lazima ziwaume
Ni maendeleo ya soka nchini, Simba walipostiwa na ligi za waarabu na ikawa faida kwa nchi, Yanga nao wanapostiwa na ligi zilizochukua UEFA ni jambo zuri.....maendeleo hayana utimu,
 
Ligi Kuu ya Hispania "La Liga" kupitia ukurasa wao wa facebook wameweka ujumbe wa kuipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya 28 kwenye historia ya klabu hiyo.

“Hongera Yanga kwa kushinda taji la 28 kwenye Ligi.” Ulisomeka ujumbe huo

La Liga na Yanga waliingia makubaliano ya ushirikiano mnamo Mei 31, 2020.
 

Attachments

  • Screenshot_20220621_140321.jpg
    Screenshot_20220621_140321.jpg
    161.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom