This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Mbona mnahangaika Sana, fanyeni Hilo unalowaza.Unaendelea kuonyesha kwamba hujui dunia iko wap kwasasa... ingia website ya CAF ujue kinacho endelea
wewe Hata za kufunga gidamu umenyimwa.uliishia darasa la ngapi kolo..? Unaonekana huna akili hata za kuvukia barabara
Director wa mazuzu.uliishia darasa la ngapi kolo..? Unaonekana huna akili hata za kuvukia barabara
Mkuu, sisi Yanga mule Cafcl tunaanzia hatua gani eti. Sisi mabingwa wa kihistoria na pointi zetu 0.5ndio mlivyo mashoga mkiambiwa ukweli mnaanza kutukuna, giza limeingia kapumuliwe huko
Unaomba kazi ya kuwa mshauri simba wakati hiyo ni nafas ya naibu raisi na mkuu wa mkoa mstaafu ndugu Makonda AlbertSimba wangempa tu hiyo Reliase Latter.
Wangemsikiliza kama bado wanamtaka basi wa wangesema tu ili awe na amani.
Kama hawataki wamwachie tu kwani akija Yanga Simba itakosa nini?
Ngoja niombe kazi ya kuwa Mshauri wa Simba Sports.
Mwenye akili fupi alishafahamika baada ya kupoteza kesi CAS.nyie Makolo wapumbavu sana tena wapuuzi wa mwisho, hata hamjui sheria za CAF zinasemaje, kwa taarifa yenu YANGA na Morrison wanawacheka tu. Kasomeni sheria za CAF wajinga nyie, "ukimsajiri mchezaj ambaye mkataba wake umebaki mwezi mmoja kuisha na mchezaj hatak tena kuendelea na hiyo club, Team inayotaka kumsajiri itatozwa Faini ya Million 11 na CAF na mchezaj huyo atakubaliwa usajiri wake mpya." Na makolo mlivyo wapumbavu zaid mkatoa hadi Public Notice 😂 kuwa mmemalizana na Morrison na mnamtakia maisha mema... Sasa kwa akili zenu fupi mnadhan Yanga itashindwa kulipa faini ya million 11..?😅😂 Mnajua GSM, Eng Hersi, Suma..?
Ha ha ha caf wamebutua,game overMwisho wa kutuma Majina CAF ni tarehe 14 August 2022 na Yeye Mkataba wake na Simba SC unaisha tarehe 16 August 2022 hivyo asiwe na Wasiwasi huko Yanga SC anakotaka kwenda ataenda Kuchezea ile ya Vijana ambayo inaweza baadae ikashiriki Ndondo Cup au ataenda Kukaa mpaka Dirisha Dogo la January 2023 ndipo aende huko Yanga SC.
Na Mwambieni Tanzania nzima hakuna Timu inayojua Kumroga Mchezaji na Kumfunika kabisa asifanikiwe Kokote aendako kama akiondoka vibaya kama Simba SC na Simba SC huwa haiishii hapo tu bali ukifanya nayo Masihara unaweza hata hii dunia ukaiaga kama walivyoiaga Wanafiki akina Ngumi Jiwe barabarani.
Na Simba SC haina tu 'Mafia' na Watoto wa Mjini ( wa Kihuni ) bali pia ina Watu Wasomi na Walewa wa Masuala mno.
Afuate kanuniSimba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Pita kwa Mangi pata chochote nalipa mie.Katika hili niwaombe msitangulize hisia na muache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa ya club na wadhamini wa club, akili za Morisson wote mnazijua swala la kumruhusu akasajiliwe na club nyingine ikiwa mkataba wake haujaisha linaweza kuwageukia Simba Sc hapo baadae.
Vipi akija kugeuka na kusema Simba Sc ndo imevunja mkataba hivyo anaomba fidia? Au kwasababu nyinyi hamuhusiki na maswala ya kifedha pale Simba ndomaana mnaongea bila kuzingatia cautions zozote?
Simba Sc haina shida nae ila ni lazima sheria ifuatwe wakati wa kusajili na kuachana na mchezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu soma vizuri barua, acha kukurupuka.Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Mtani si ufurahi wakili msomi, anakuja kuwafuta jasho za CAS, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaghh! Huwa inachosha sana kila wakati hasa hizi nyakati za usajili anazungumziwa mchezaji mmoja tu. [emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeh kazi ipo hapa.Rejea kuisoma upya barua ya Simba dhidi ya Morrison. Utagundua kitu. Maneno ya mwishon yanasema hivi"Simba inamtakia kila laberi huko aendako katika safari yake ya soka".
Nikajua wee ni mwanasoka na una Elimu ya Kandanda, kumbe ni hollah, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba ni mke alieachwa alafu hataki ku move on anachofanya ni kumkomoa mumewe kupitia mtoto
Haya hiyo elimu ya kandanda itanisaidia nini mie!!!Nikajua wee ni mwanasoka na una Elimu ya Kandanda, kumbe ni hollah, khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana akienda ili kuisemea yangaKwani yule pia alisajiliwa na Yanga ili kuikomoa Simba ?
Kumpa mapumziko ndio kuachana?Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389