Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ila tu kwavile ni ujinga tu wa viongozi wa Yanga kama ni kweli wanataka kumrejesha Morrison. Ila wangekuwa viongozi wa Yanga wako smart basi ilikuwa ni fursa nzuri sana ya Morrison kulipwa ujira wake kwa vitendo alichowanyia Yanga. Ila imekuwa viongozi wa Yanga kazi yao kucheza ngoma ya Morrison. Akili zingine hizi za viongozi zinashindwa hata watu walioishia darasa la 7B. Viongozi wa Simba wanaakili kubwa sana kwenye hili anayeumia ni Morrison ila ujinga wa Yanga inaweza kukuta nawao inawaumizaSafari mpya baaada ya mkataba kuisha, maana yake Simba haina nia yaku-renew mkataba baada ya huu kuisha, so avumilie au club nyingine ilete offer mezani
BARUA IPO WAZI, YUPO MAPUMZIKO NA SAFARI YAKE YA SOKA HAPO BAADAE BAADA YA MKATABA KUISHA.Kwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
morison hajaachwa na ndio mana bado analipwa mshahara wake kama kawaidaUtaratibu gani huo kama sio umbumbumbu na upumbavu. Umetangaza hadharani kuwa umeachana na mtu fulani kwanini usimpe barua ya kumwachia sasa
Kwanza kabisa uelewe simba na yanga ni wapinzani wa jadi hawawezi kukaa sehemu moja kimashauri kwenye swala lolote lile,izi timu zione iviivi haziwezi peana kwa mkopo mchezaji yoyote ile,Yaani Simba kama Ndemla hana namba simba,Yanga waende kusema tunamtaka kwa mkopo achezee yanga haiwezi tokea ilo,anachofanya simba kipo sahihi kabisa,MM KAMA SHABIKI SIHAFIKI KUKOMOANA. KAMA HANA MANUFAA UNAFANYA HIVYO ILI NINI? UKIMWACHIA SASA NA UKAMWACHIA WAKATI MKATABA UTAKAPOISHA TOFAUTI NI NN KATIKA CLUB?
Mm siwajali Utopolo. Nachojali ni maslahi ya Simba. KAMA HATUMTAKI, HATUMTUMII TUNAMSHIKILIA WA NN? KWA FAIDA GANI?Kwanza kabisa uelewe simba na yanga ni wapinzani wa jadi hawawezi kukaa sehemu moja kimashauri kwenye swala lolote lile,izi timu zione iviivi haziwezi peana kwa mkopo mchezaji yoyote ile,Yaani Simba kama Ndemla hana namba simba,Yanga waende kusema tunamtaka kwa mkopo achezee yanga haiwezi tokea ilo,anachofanya simba kipo sahihi kabisa,
Uzi umefungwa hapaWakuu KWA MFANO TU
.
Katika funzo la hili sakata la Bernard Morrison na uzoefu wa tukio hili huko nyuma.
.
Kipi kinaweza kutokea?
.
1- Klabu mpya kuwasilisha ofa ya kuununua mkataba wa miezi miwili iliyobaki?
.
2- Simba Sc watabaki na mkataba wa Bernard Morrison mpaka mwisho wake?
.
3- Bernard Morrison anaweza kuununua mkataba wake uliobaki.?
.
CHAMBUA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uropokaji wa zeruzeru ndiyo umemharibia Morrison
Inaeleza Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter.
Taarifa za kuaminika ni kuwa anataka kujiunga na Yanga, Simba wanafahamu hilo kwahiyo hawana tatizo zaidi ya kusubiri mwisho wa mkataba.
Naona watu wanaenda kisomi zaidi.
Kutuita uneducated, manyani mambwa tunabweka bweka hovyo πRage hakukosea kabisa
Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Wamesema hiyo timu inayomtaka itume barua kuomba hiyo release letter, simple.Kwahiyo hapo Simba wanamkomoa nani?
Timu ya nje inayomtaka,Yanga au BM3 mwenyewe?
Luc aliwapatia kweli nyani wa pori la UtopoloKutuita uneducated, manyani mambwa tunabweka bweka hovyo π
Zeruzeru amesema wameshamalizana naye bado kutambulishwa tu,domo ponza kichwaKwa namna ilivyo utakuta wala haitajiki na Yanga kabisa
Simple,apeleke hii press release huko CAF. Ujanja mwingi mbele gizaKwani ile barua waliandika simba ilijielezaje? Simba si wamesema wameachana na Morrison asa kama umeshasema mmefikia makubaliano ya kuachana kwanini wasimpe talaka yake?View attachment 2267389
Ndiyo mjue hamjui.Kujua kuwa mchezaji umetangaza kuwa mmemsimamisha mpaka mwisho wa msimu na kutakia heri katika maisha yake mapya ya soka halafu unamnyima haki ya kusajiliwa na timu zingine kisa tu muda bado wa mkataba ni uswahili zaidi. Dirisha la CAF linafunguliwa tarehe 30 kwahiyo mpaka hapo Simba wanamkomoa Morrison asisajiliwe abakie hana timu
Mkuu ninachokiona ni kuwa Yanga wana kinyongo na Morrison Kwa jinsi alivyowachezesha mayenu na hatimaye akawabwaga na wao Yanga kulazimika kumlipa mamilioni hivyo kinachoendelea ni mkakati wao kulipa kisasi kuhakikisha kuwa Morrison hachezi mpira msimu unaokuja. Morrison ujanja wake wote ameshindwa kung'amua mchezo huu mchafu. Yanga wanajua Simba hawawezi kumpa hiyo barua wakijua kuwa anaenda Yanga. Hata kutangaza mapema kuwa Morrison anakwenda Yanga na kisha kumuachia yeye msala wa kuidai release letter hiyo ni uthibitisho kuwa wanamchezea mchezo mchafu.Ila yanga wangeliachanalo huyu ili afundishwe na dunia. Watafute mchezaji zaidi ya Morrison kwanini nguvu nyingi inatumika kwa huyu mchezaji utafikiri yupo pekee yake Africa nzima