Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Yanga walimchukua huyu jamaa nitawadharau sana

Huyu jamaa ni mkorofi sana kwanza hana mchango wowote uwanja hos football ain't serious,mbwembwe kibao.

Aliondoka kwa fujo akaenda simba nako analeta fujo wanamtakia nini mtu huyu hata kama ni makerting anaweza waletea hasara zisizo za lazima

Huyu kanogewa na bongo nasikia hata anakulaga mbususu za kidimbwi.

Zisi taimu aachwe akacheze singida united na namungo huko. Au arudi kwao
 
Safari mpya baaada ya mkataba kuisha, maana yake Simba haina nia yaku-renew mkataba baada ya huu kuisha, so avumilie au club nyingine ilete offer mezani
Ila tu kwavile ni ujinga tu wa viongozi wa Yanga kama ni kweli wanataka kumrejesha Morrison. Ila wangekuwa viongozi wa Yanga wako smart basi ilikuwa ni fursa nzuri sana ya Morrison kulipwa ujira wake kwa vitendo alichowanyia Yanga. Ila imekuwa viongozi wa Yanga kazi yao kucheza ngoma ya Morrison. Akili zingine hizi za viongozi zinashindwa hata watu walioishia darasa la 7B. Viongozi wa Simba wanaakili kubwa sana kwenye hili anayeumia ni Morrison ila ujinga wa Yanga inaweza kukuta nawao inawaumiza
 
MM KAMA SHABIKI SIHAFIKI KUKOMOANA. KAMA HANA MANUFAA UNAFANYA HIVYO ILI NINI? UKIMWACHIA SASA NA UKAMWACHIA WAKATI MKATABA UTAKAPOISHA TOFAUTI NI NN KATIKA CLUB?
Kwanza kabisa uelewe simba na yanga ni wapinzani wa jadi hawawezi kukaa sehemu moja kimashauri kwenye swala lolote lile,izi timu zione iviivi haziwezi peana kwa mkopo mchezaji yoyote ile,Yaani Simba kama Ndemla hana namba simba,Yanga waende kusema tunamtaka kwa mkopo achezee yanga haiwezi tokea ilo,anachofanya simba kipo sahihi kabisa,
 
Kwanza kabisa uelewe simba na yanga ni wapinzani wa jadi hawawezi kukaa sehemu moja kimashauri kwenye swala lolote lile,izi timu zione iviivi haziwezi peana kwa mkopo mchezaji yoyote ile,Yaani Simba kama Ndemla hana namba simba,Yanga waende kusema tunamtaka kwa mkopo achezee yanga haiwezi tokea ilo,anachofanya simba kipo sahihi kabisa,
Mm siwajali Utopolo. Nachojali ni maslahi ya Simba. KAMA HATUMTAKI, HATUMTUMII TUNAMSHIKILIA WA NN? KWA FAIDA GANI?
 
Wakuu KWA MFANO TU
.
Katika funzo la hili sakata la Bernard Morrison na uzoefu wa tukio hili huko nyuma.
.
Kipi kinaweza kutokea?
.
1- Klabu mpya kuwasilisha ofa ya kuununua mkataba wa miezi miwili iliyobaki?
.
2- Simba Sc watabaki na mkataba wa Bernard Morrison mpaka mwisho wake?
.
3- Bernard Morrison anaweza kuununua mkataba wake uliobaki.?
.
CHAMBUA

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uzi umefungwa hapa
 

Inaeleza Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.

Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter.

Taarifa za kuaminika ni kuwa anataka kujiunga na Yanga, Simba wanafahamu hilo kwahiyo hawana tatizo zaidi ya kusubiri mwisho wa mkataba.

Naona watu wanaenda kisomi zaidi.
Uropokaji wa zeruzeru ndiyo umemharibia Morrison
 
Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?

Wapumbavu ni Yanga kupitia zeruzeru kuanza kuikejeli Simba, ndiyo waelewe maana ya msemo wa Kiswahili usemao usitukane mamba kabla hukavuka mto,tuliwaonya Yanga siku nyingi kuwa hii tabia ya Haji kutumia bifu lake na Mo/Barbara kuishambulia Simba itakuja kuwagharimu.Asubiri tu mkataba uishe.
..
 
Kujua kuwa mchezaji umetangaza kuwa mmemsimamisha mpaka mwisho wa msimu na kutakia heri katika maisha yake mapya ya soka halafu unamnyima haki ya kusajiliwa na timu zingine kisa tu muda bado wa mkataba ni uswahili zaidi. Dirisha la CAF linafunguliwa tarehe 30 kwahiyo mpaka hapo Simba wanamkomoa Morrison asisajiliwe abakie hana timu
Ndiyo mjue hamjui.
 
Baadhi ya wanawake wanakuwa na nongwa kama CEO wetu!

 
Mpira ni biashara ndio maana kuna mikataba hakuna mambo ya ujanja ujanza au kuoneana katika hili. Morrison atakula mshahara wake hadi mwisho wa msimu tena akiwa home anacheza na familia yake.
 
Ila yanga wangeliachanalo huyu ili afundishwe na dunia. Watafute mchezaji zaidi ya Morrison kwanini nguvu nyingi inatumika kwa huyu mchezaji utafikiri yupo pekee yake Africa nzima
Mkuu ninachokiona ni kuwa Yanga wana kinyongo na Morrison Kwa jinsi alivyowachezesha mayenu na hatimaye akawabwaga na wao Yanga kulazimika kumlipa mamilioni hivyo kinachoendelea ni mkakati wao kulipa kisasi kuhakikisha kuwa Morrison hachezi mpira msimu unaokuja. Morrison ujanja wake wote ameshindwa kung'amua mchezo huu mchafu. Yanga wanajua Simba hawawezi kumpa hiyo barua wakijua kuwa anaenda Yanga. Hata kutangaza mapema kuwa Morrison anakwenda Yanga na kisha kumuachia yeye msala wa kuidai release letter hiyo ni uthibitisho kuwa wanamchezea mchezo mchafu.
 
🔖 Klabu ya Simba SC inataka Tsh 70 Milioni kuvunja mkataba wa Bernard Morrison wa mwezi mmoja na nusu uliosalia.

Mkataba wa Bernard Morrison katika klabu ya Simba SC unamalizika August 14/2022.

"Bernard Morrison bado ni mchezaji wetu mpaka mkataba wake utakapomalizika. Bado tunaweza kufanya Biashara na hiyo timu itakayomuhitaji. Sisi tumempa ruhusa tu"

🔍 Murtaza Mangungu mwenyekiti wa klabu Simba SC upande wa Wanachama.
.
.
Bernard Morrison atawasili nchini wiki ijayo akitokea nchini Ghana 🇬🇭, klabu ya Simba imemtaka aripoti kambini,, BM3 amegoma.
 
🔖 Michezo ya klabu bingwa Africa na Shirikisho (CAF) hatua ya awali itaanza kuchezwa SEPTEMBER 9 hadi 11/ 2022.

CAF imezingatia kuchelewa kumalizika kwa baadhi ya ligi Afrika.

Mwisho wa usajili wa wachezaji wataokaoshiriki michuano ya (CAF) ni August 1 hadi 15/2022.

Klabu itakayochelewa kusajili ndani ya tarehe hizo itapigwa faini ya USD $ 5,000. Sawa na Tsh 11 Milioni.

Ofa hiyo ya kusajili nje ya dirisha inaenda kwa siku 12 pekee. Zikipita siku (12) hakutakuwa tena na room ya kusajili.
 
Back
Top Bottom