Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

.
 

Attachments

  • FB_IMG_1655579378566.jpg
    31.8 KB · Views: 4
Simba na Yanga ama Yanga na Simba hawana utaratibu huo wa kupeana ofa za kuuziana mchezaji,kaa kwa kulifahamu ilo
 
Mwisho wa kutuma Majina CAF ni tarehe 14 August 2022 na Yeye Mkataba wake na Simba SC unaisha tarehe 16 August 2022 hivyo asiwe na Wasiwasi huko Yanga SC anakotaka kwenda ataenda Kuchezea ile ya Vijana ambayo inaweza baadae ikashiriki Ndondo Cup au ataenda Kukaa mpaka Dirisha Dogo la January 2023 ndipo aende huko Yanga SC.

Na Mwambieni Tanzania nzima hakuna Timu inayojua Kumroga Mchezaji na Kumfunika kabisa asifanikiwe Kokote aendako kama akiondoka vibaya kama Simba SC na Simba SC huwa haiishii hapo tu bali ukifanya nayo Masihara unaweza hata hii dunia ukaiaga kama walivyoiaga Wanafiki akina Ngumi Jiwe barabarani.

Na Simba SC haina tu 'Mafia' na Watoto wa Mjini ( wa Kihuni ) bali pia ina Watu Wasomi na Walewa wa Masuala mno.
 
Hizi ni stori mnasimuliana wakati mnakuna nazi.
Niombe Radhi ndugu ila huo ndo ukweli nilikuwa karibu sana na mmoja kati ya watu niliowazungumzia na viongozi wa simba wakati huo!
 
Hili sakata la Morisson kidogo linafanana na lile la mchezaji wa zamani wa Simba Laudit Mavugo alivyoachwa nje ya reli,Mavugo wakati ligi inaisha simba hawakuwa wanamuhitaji ila sasa mwishoni mwa ligi kwisha Yanga walionyesha nia ya kutaka kumsajiri,Na simba walivyojua yanga wanamtaka ikawabidi mavugo apewe ahadi ya kuongezewa mkataba na Simba kwa njia ya mdomo,ikafika siku ya kufungwa dirisha la usajiri usiku saa 6 mavugo hadi muda huo anamatumaini kuwa simba watamsajiri,mwisho wa siku mavugo Simba hakusajiriwa,na yanga nao pia wakamkosa,ndicho ninachoona kitatokea kwenye ili swala la Morrisson
 
Na muda huo Dirisha la usajili wa CAF utakuwa umeshafungwa
Hata hivyo taarifa tulizozipata hivi punde Caf wamesogeza mashindano ya CAF mbele pia usjali wa CAF umesogezwa kuanzia August 1 mpaka 15, kwahiyo siku zote roho mbaya haijengi
 
Simba ni timu yangu ila naomba kwenye hili niwaite WAPUMBAVU.
Mmeshashindwana na mchezaji muacheni aondoke zake mivutano ya Nini?
Acha povu,bado itaendeleakuwa timu Yako TU,hutaki hamia yanga🚶
 
Nenda ukashitaki cas sio kushupaza shingo
 
Morrison kama amesajiliwa Yanga, Atacheza ligi ya Mabingwa Afrika na ligi ya NbC .Ata kama baadhi ya mashabiki wa Simba watanuna lakini hakuna Jinsi.
 
Mbona yule mzungu wa mchongo msemaji mmeshindwa mfunika nyotaa yake
 
Umeonae? Alafu eti wanajiita klabu inayoendeshwa kisasa wakati inaendekeza mambo ya hovyo Kama haya, uswahili mwingi. Hakika bado tuna safari ndefu Sana.
Shida huna shule kichwan kilaza wewe, ulishawahi ona wapi mwanafunzi anapewa cheti kabla ya kuhitimu mtihani wake?
Morrison Hadi Sasa amemaliza mitihani na amefaulu Ila anasubiria siku ya mwisho ya mahafari ili atunukiwe cheti chake.

Yaan unataka utaratibu usifuatwe wakati hili swala lipo kimkataba, ingekua ni hivyo Basi hata yanga mngemshinda kwenye kesi Ila aliwashinda kwenye kesi sababu ya terms mlizokubaliana kwenye mkataba wake.
Huwezi kuleta uhuni uhuni kwenye mkataba na ndio maana Simba waliheshimu mkataba kwa kumpa rikizo lakini hawakutangaza kuachana nae Kama ilivyo kwa bwalya na Wawa.

Mikataba haina uswahili na lazima iheshimike na simba Ana haki ya kutaka ofa toka kwa timu inayomtaka .
Kilaza mkubwa wewe ,Rudi shule kenge maji mmoja wa utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…