Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

Usajili wa caf mwisho ni 30 june. Kama ikipita hiyo tarehe Morrison hajapewa release letter yake ina maana atakosa usajilo wa xaf kwenye mechi za awali za ligi ya mabingwa hatocheza
Unabishana caf wenyewe!
 
Shabiki mwandamizi kama gentamycine anajisifia uchawi na kuziba riziki ya mtu kupitia ulozi kweli Kolo ni kolo
 
Wewe yanga kesi yako na morrison umesahau huyo fala alikuacha kwenye mataa au?

Sahv unacomment unajipa na urafiki kabisa eti "morrison na yanga wanatucheka" we jamaaa acha kua mbovu wa fikra
 
Hakuna adui wa kudumu kwenye soka

Huo uadui wenu wa kimbumbumbu pelekeni huko ukoloni ila sisi kwetu hatuna adui wa kudumu

Mwenyezi Mungu akijaalia BM3 atakuwa green and yellow next season.....tuseme Inshaallah
 
Wewe yanga kesi yako na morrison umesahau huyo fala alikuacha kwenye mataa au?

Sahv unacomment unajipa na urafiki kabisa eti "morrison na yanga wanatucheka" we jamaaa acha kua mbovu wa fikra
sasa wew kwa akili zako unataka kuleta uadui hadi ktk michezo, wanasiasa tu hawanuniani sembuse ktk mpira...
Wabongo tatzo lenu ni ujinga umewajaa hamjui sheria na mnapenda mabifu...
Someni sheria za CAF mjitoe ujinga
 
Uadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema
 
Uadui mliuleta nyie ambao mliona mchezaji ameenda kihalali na mkaenda CAS
Kama mkataba unaisha trh 14 subirini wakuu tarh 15 mchezaji wenu mnambeba mapeeema
Simba ni timu kubwa
Wa 11 sasa Afrika tunawalk the talk tupo professionally
Ile ni mikataba
Sio umoja wa mama huruma hapo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…