Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Ninaanza na Strategic Weapon Kwanza sawa?

HWASONG-18 ICBM​



Mass: 55-60 tons (estimated)
Length: 25 m
Diameter: 2 m
Warhead: nuclear weapon, possibly MIRV
Warhead weight: 2.25 - 2.5 t
Engine : three stage solid fuel rocket motor 140 t
Propellant: solid fuel
Operational range: 15,000 km
Flight altitude: 6,648 km
 
Hiyo ripoti ya mwaka gani? Umekimbia kuhusu Main Battle Tanks
Main tank battle umekimbia wewe

Tena naweza nika switch nisitumie South Korea ku challenge hicho kifaru chako.

Kwasababu hata Egypt ana kifaru bora cha Ramses ii ambacho ni very superior kuliko hiyo Chonma ya North Korea

Kwa hiyo North Korea sio tu kwamba hawezi kuwa tishio kwa Marekani bali hata Egypt
 
Ukimaliza unistue
 
Nilikupatia hii link. Je uliisoma?

 
Sasa wapi nimekata usitumie google? Nilikuambia nakuongezea kitu kingine wakati unaendelea ku google. Mzee mbona unatafuta ligi ambayo haipo? Twende kazi kwente Main Battle Tank usikimbie
Na

ACHA KUANDIKA UONGO
Hicho nilicho ki bold kwa rangi ya blue ndio kinachoonekana hapa chini kwenye hii screenshot?
 
Ukimaliza unistue
Hwasong-13 ICBM





Length 16 m PVB 18 m longer (12 to ± 20 m, improvements can be longer (RS-24\RT2PM2 dimensions))
Diameter 1.8 m (1.60–1.87 m) (if enlarged, like Hwasong-7 and other missiles)
Warhead nuclear
Engine Liquid, like the Hwasong-10
Propellant Liquid propellant
Hydrazine UDMH with IRFNA AK
TG02
NTO N204
Operational range
  • minimum 5,500km
  • 1,500–6,000 km (with IRFNA AK TG02)
  • 3,000–12,000 km (with other propellants, like NTO UDMH or LOX Kerosene)
 
Nimekuambia tumia google translator. Mzee usiwe kama mtoto basi kuaza kubishana ujinga
 
Nimekuambia tumia google translator. Mzee usiwe kama mtoto basi kuaza kubishana ujinga
Kama ingekuwa mambo yanafanyika hivyo basi hata hizo picha ungetuelekeza tukazione kwenye source ulikozitoa.

Sasa mbona picha zinaletwa bila utata lakini maelezo kuhusu picha tunaelekezwa kuzifata sehemu nyingine?

Au unataka kutuaminisha hizo picha ulipiga wewe?
 
Kwani tayari umemaliza ili nianze?
Wewe ni mwoga sana mdogo wangu huwezi kujadiliana kwa facts

Hwasong-17 ICBM - MADE IN NORTH KOREA​



Mass 80,000–150,000 kilograms (180,000–330,000 lb)
Length 24–26 m (79–85 ft)
Diameter 2.4–2.9 metres (7.9–9.5 ft)
Warhead nuclear weapon, MRV
Warhead weight 2,000–3,500 kg (4,400–7,700 lb)
Engine 2 RD-250-type rocket engines (first stage)
Propellant liquid rocket engine
Operational range 15,000 km (9,300 mi)
 
Sio kwamba USA anamuogopa NK.....
1. Wao north Korea walishasema kama watachokozwa Kijeshi na USA, wao Kwa majibu ya fasta fasta wataanza na South Korea na Japan kwasababu wao ndio wanaomkaribisha huko rasi ya korea. Haijalishi kama wao wanamchango katika chokochoko hizo

2. Kwakua inajulikana wazi kabisa kua Russia ndiye baba mzazi wa NK. Marekani anajiuliza je vita itakapoanza baba huyu mzazi atakaa na kufunga mikono nyuma huku akiangalia mwanae akichapika. Vipi kuhusu baba mlezi ambaye ni china naye ataangalia tu??
3. Wamarekani Bado wana maswali mengi juu ya balance of power in Korean peninsula na southern china sea kama NK ataivamia Japan na South Korea.
Wamarekani sio mafwala
 
Hapa tunashindana au tunajadiliana. Sijakuelewa.
Wewe toa maoni yako dogo acha USHAMBA
Nani kakuambia neno nianze linasadifu kushindana?

Mimi nimekuachia nafasi uandike kila kitu ili nisije nikauliza swali ambalo ukaonekana bado ulikuwa hujamaliza kutoa sifa za hiyo silaha.

So peaceful, kama umemaliza niambie ili namimi niku challenge hizo sifa za silaha unazomsifia North Korea.
 
Unalalamika sana kama mgonja wa kuhara

Hwasong-15​



 
Okay kwa hiyo latest series ya Hwasong ndio ilikuwa ile ya 18?

Maana yake vinavyofuata chini yake havijaweza kufika uwezo wake si ndio?
 
Punguza maneno tunataka vitendo siyo malalamiko

Hwasong-14 (KN-20)​



 
Hao US unao sema wamaiogopa NK walifanya jaribio la kwanza la ICBM 1957
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…