Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #261
Ninaanza na Strategic Weapon Kwanza sawa?Nitajua vipi tofauti na wakati nimekuwa nikisisitiza kuwa uweke mchanganuo kila kitu kiwe bayana watu tujue badala yake una post mapicha tu.
Weka hizo tactical weapons ziwekee na sifa zake halafu tuachie watu tufanye comparison kwenye majeshi mengine.
Na unaweza kuta hata hii post ukaijibu kwa maneno tupu usiweke hizo specs kama ilivyo kawaida yenu Wakurya
HWASONG-18 ICBM
Mass: 55-60 tons (estimated)
Length: 25 m
Diameter: 2 m
Warhead: nuclear weapon, possibly MIRV
Warhead weight: 2.25 - 2.5 t
Engine : three stage solid fuel rocket motor 140 t
Propellant: solid fuel
Operational range: 15,000 km
Flight altitude: 6,648 km