Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

Hwasong-17​

Hii inagonga popote ndani ya USA
1694946280027.png


1694946366262.png

Warhead nuclear weapon, possibly MRV
Operational range 15,000 km
 
Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.

Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na hawa jamaa?

Kwanza kabisa historia inaanzia kipindi cha Cold war wakati West na East wakitafuta utukufu duniani. Kitendo kicho kilifanya Korea kugawanyika na kuwa katika sehemu mbili. Huku korea ya kusini ikipiga magoti kwa Western wakati Korea ya kaskazini ikijiimarisha na kulinda heshima yake.

NK iemeendelea kuimarisha jeshi lake tangu kipindi hicho kujua kwamba adui wao nambari moja ni Marekani. Huyu marekani amekuwa akitumia ushawishi wake huko UN na kuweka vikwazo rukuki NK. Akitegemea hawa jamaa watampigia magoti lakini wapi. Miaka inazidi kwenda tu.

Waziri wa Ulinzi wa Korean People's Army ni Comrade General Kang Sun-nam

View attachment 2752109

Huku General Staff Department (GSD) Akiwa ni Comrade Vice Marshal Ri Yong-gil
View attachment 2752112

IDADI YA WANAJESHI

NK Army linakadiliwa kuwa na Active Personnel 1,320,000 ombapo inaelezwa kuwa ni jeshi kubwa la nne duniani baada ya China, India na Marekani.

Jeshi hili limegawanyika katika kamadi tano:-
  1. KPA Ground Forces
  2. KPA Naval Forces
  3. KPA Air Force
  4. KPA Strategic Force
  5. KPA Special Operation Force
Nembo ya jeshi hili la korea ni
View attachment 2752115

Usikae mbali na uzi huu nitakuletea hatu kwa hatua uwezo wa jeshi hili.....
Mkuu pia utuletee siku moja uzi wa jeshi la sita kwa ubora duniani.
 
Back
Top Bottom