Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

Hakuna aliyebambikiwa kesi wala kuonewa.

Swala la kutokulipa kodi wafanyabiashara walikua hawalipi.

Hao wanaosema wanabambikiwa ndio wale wahalifu ambao wana maisha ya aina mbili.

Yale ya gizani na yale ya kuzugia uraiani.

Mtu ni muuza madawa mzuri tu lakini ndio anaongoza kwa kutoa sadaka na kujenga nyumba za ibada.

Sasa huyo akishughulikiwa raia unaweza ona anaonewa.

Wezi tunaishi nao huko mtaani wengi tu na ndio wanaendesha maisha ya wengi, ni mfumo ambao upo deep sana kwenye jamii zetu.

Kuuondoa huo mfumo ni kazi kubwa na watu wengi wataumia.

Rais aliyepita alijitahidi kuuondoa mfumo huo wa kifisadi lakini aliishia kukumbana na kilichomkuta.
 

Unadhani hatukuwa tunaona ulevi wa madaraka wa Magufuli?
 
Ondoa HOJA NYEPESI jukwaani, Kila thread mama vs JPM!!!!!!!!

Hoja na AGENDA kuu Kwa sasa nchini ni KATIBA mpya.

Mzee Warioba ateuliwe na Rasimu yake irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Ameeeen.

Ameeeen.
 
Magufuli alikuwa ni shetani ndani ya mwili wa mwanadamu. Kama hujui tafsiri ya neno SHETANI kwenye kamusi, basi angalia matendo ya Magufuli
 
Hakuna cha kutoa elimu..ni kuwachapa viboko tu Mataahira hao
 
Saivi ni kula kwa urefu wa kamba.
 
Binafsi naona jambo hapa, yaani kujadiliwa mtu ambaye hayupo na anaumiza vichwa vya watu walio hai kuandika nyuzi za kumjadili tena kwa mabaya ilhali replies zinaonyesha kushindwa, basi ni ajizi kubwa.

Yule mzee aliwaweza kweli kweli aseee!.
Moja ya lile taahira hili hapa, ni kulichapa kiboko tu. Tena kile OG
 
Peleka UPUMBABU wako huko

Pia kuna kundi la masikini wanyonge walifurahia huduma Bora za maji
Afya
Miundombinu
Kutokomezwa ufisadi
Maboresho elimu
Kulinda rasilimali
Wajawazito waliokuwa wakifa law ubovu wa miundombinu walimfurahia sana!
n.k n.k n.k

Hizo takataka zingine sijui zilizokuwa zinatekwa sijui kujiteka ni nani mbele ya watanzania milioni 60? Tena wangeendelea tu kutekwa kama walikuwa wakikwamisha juhudi za kuwahudumia masikini walio wengi

Usijaribu kumtetea Samia, Hakuna la maana alilolifanya wala hana mwelekeo na wala hana maono na uzalendo juu ya Tanzania.

Huo ndio ukweli.
 
Mkuu nakuhakikishia asilimia hamsini (50%) ya kesi za kisiasa.. Kodi.. Sijui Ubadhirifu watu wamebambikwa...

Ofisi flani ilituhumiwa kwa wizi wa shillingi million 85 na wahusika walikamatwa wakapelekwa mahakamani... kesi iliishia hewani.. na ni ya mwaka 2020 ...
Baada ya hapo uchunguzi wa kina ukafanyika tena.. Wahusika hawakuwa na kosa kwa kuwa nyaraka inatoka ofisi iliyohusika na makosa... Lakini wakasingizia watumishi wengine ili tuu ionekane hatua zimechukuliwa.. ( lakini zilichukuliwa kwa watu wasiohusika)...

Mchezo huu umefanyika sana... Nenda ofisi za upelelezi hata tuu hapo ofisi za Kinondoni... Maafisa watakwambia walidaka watu sana... Lakini kadiri kesi inavyokwenda ndio wanajua loooh.... Acha kabisa
 
Mimi nivyoona mkuu issue sio watumish kuboreshewa maslahi, issue ni je wanapata huduma bora.
 
Kipi kilichoboreka kwa mwananchi wa kawaida tangu mama ameingia madarakani?

Mnapiga mwingi kwenye ufisadi na kulambishana asali,huku mtaani mambo yakizidi kuwa mabaya kwa wananchi.

Mmefungua nchi sawa...je nini ambacho kinamsaidia au kumnufaisha mwananchi huku site zaidi ya kuongezewa.

Tozo.
Vikokotoo.
Fukuza Machinga.
Kulipa kodi ya kichwa.
Mfumko wa bei.
Ughali wa matibabu.
Na....
Uzembe kwa watumishi wa umma kurejea kwa kasi.
Vyakula vyote sasa vinakwenda nje na soon baa la njaa litaanza nchini.

Ajali kila uchao zinateketeza maisha ya wananchi.
 
Pengine huelewi lugha za kwenye taarifa za ukaguzi. Waulize wajuvi wakufafanulie kabla ya kuonesha kiwango cha uwezo wako wa kujua mambo.
Kama mtu ambayo anahusika CAG ameweka wazi huo ufisadi unataka upembuzi gani Tena ?
 
Ben ndio takataka gani na wewe?

Kigoma tu hapo juzi wameuawa watu saba wa familia moja kwa mapanga, kwamba ben ndio mtu sana au?

Wameuliwa na dhalimu? Kumbuka hata hao waliouliwa maiti zao zilikuwepo na wamezikwa. Je aki a Ben, Azory nk wamezikwa wapi?
 
Umesema kweli kabisa 101% !!
 
Mkuu watu wamekariri we acha tu maana unaweza kujiuliza huyo Ben alikuwa ni nani hasa? Maana matukio ya uhalifu bado yapo hayajawahi kuisha ila watu wamekariri Ben tu.
maisha ya mtu mmoja tu Yana thamani Zaid ya flyover na man made things unazozijua ww joh we soldiers don't leave thy life behind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…