Wewe hujui hata uhuru wa mtu binafsi kuamua mambo katika maisha yake ni nini.Hiyo umesema wewe mtu yeyote mwenye akili timamu akisoma conversation yangu mimi na wewe ataona wewe ndo kilaza
Uhuru wa wewe kufanya ujinga alafu watu wakae kimya Hiki kitu hakipo mahali popote paleWewe hujui hata uhuru wa mtu binafsi kuamua mambo katika maisha yake ni nini.
Wewe ni zaidi ya kilaza.
Wewe ni ngumbaru mjima.
Nimekupa nafasi ueleze huo ujinga uko wapi.Uhuru wa wewe kufanya ujinga alafu watu wakae kimya Hiki kitu hakipo mahali popote pale
Kwa akili hizi, Siwezi endelea bishana na wewe...HUJITAMBUI.Huna masha yako ndo maana ukifa watu wanakubeba wanakuchimbia kaburi, wanaenda kukuzika au ulivyokua mdogo ulikua unajinyea watu wanakutawadha
Hawa wengine kujadiliana nao ni kujisumbua tu.Kwa akili hizi, Siwezi endelea bishana na wewe...HUJITAMBUI.
Halafu sasa wana hasira naye, kumpiga hawawezi, kumshitaki hawana hata ujasiri huo, wamebaki kupiga domo tu hapa JF.Kifupi Binti kawashangaza,hawakutegemea.
Dhana nzima ya usomi ni pana sana kuliko ulivyoiweka kirahisirahisi hapa,Kuna mambo yanapaswa kufanywa na msomi,pia kuna mambo ya kufanywa na wadada wa mjini
Na sio kila kitu ni chakufanya
Wana mdiscuss kwa sababu wana shangaa mdudu kaingia vipi kwenye kokwa la embe. Hata wewe ukimkuta toz Mogadishu lazima ushangae kwa sababu Somalia hakunaga toziAngefanya huo ukungwi bila elimu unadhani angekuwa talk of the the town?anakulia bundle hapa uko busy kumdiscuss
Hayo ni mawazo yako ,siwezi kukukataliaDhana nzima ya usomi ni pana sana kuliko ulivyoiweka kirahisirahisi hapa,
Na hii dhana uliyoiweka hapa, kwa wasomi wa falsafa na mantiki, inaitwa "false dichotomy logical fallacy".
Yani umefanya kama vile usomi na udada wa mjini haviwezi kuendana pamoja, wakati kuna wengine wanakwambia mjini shule na huwezi kukamikisha kuwa msomi ukawa mtu mshamba mshamba.
Kwani nani kasema mawazo yako?Hayo ni mawazo yako ,siwezi kukukatalia
Ndio maana mnaambiwa muende shule nzuri hamsikii,mnashangaa hata vitu visivyoshangalika chaaWana mdiscuss kwa sababu wana shangaa mdudu kaingia vipi kwenye kokwa la embe. Hata wewe ukimkuta toz Mogadishu lazima ushangae kwa sababu Somalia hakunaga tozi
Wambea sana!mara wakamtungia yupo kwenye clip ya ngono ya Aslay kumbe sio Ili mradi tu watimize umbea wao🙌Halafu sasa wana hasira naye, kumpiga hawawezi, kumshitaki hawana hata ujasiri huo, wamebaki kupiga domo tu hapa JF.
Wanaume wazima wameshindwa hata kumchukulia hatua huyo binti tuone kuwa hawa kweli wanaume?
Yani imekuwa binti kawa mtu wa vitendo kutimiza ndoto zake maishani, halafu wanaume wanamnyanyapaa kwa umbea tu!
Watu wa aina ya huyu binti unaweza kuona unawaharibia kuwazushia scandal, kumbe wenyewe ndiyo wanafurahi tu unawaongezea viewers na subscribers 🤣🤣🤣Wambea sana!mara wakamtungia yupo kwenye clip ya ngono ya Aslay kumbe sio Ili mradi tu watimize umbea wao🙌
Wewe kama mzaz timiza majukum yako mtt yuko abv18 acha aishi maisha yakeMchaga na ukungwi wapi na wapi mkuu? Mwanamke anaonekana hata hajui kuosha k wala kuzungusha kiuno.
Msimtoe mtoa mada kwenye reli pelekeni watoto wenu Kayumba period . Acheni kujistress shule za EM
Nimecheka kwa sautiHatakama nikungwi ndio awe mchaga jaman yan mchaga kapata wap skills zakupigana miti