Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Misina akili nimekubali Hivi wewe mwenye akili umefanya nini cha maana huku duniani
Nasubiria jibu

Kila mara ukibishana na mtu au watu unakimbilua kumtuhumu hana akili
Wewe mwenye akili umefanya nini cha maana huku dunia sababu mtu yeyote akiwa kinyume na wewe hana akili
 
Asilimia kubwa wanaomsupport huyu dada ukiwaambia what if mdogo wako wa kike au mtoto wako wa kike akifanya utamsupport wengi wanakua wakali

Tunakizazi chenye ubinafsi mkubwa sana kwa sababu jambo hafanyi mtu wako wa karibu ni sawa ndo maana tunakizazi cha hovyo sana

Mimi siwez support jambo ambalo mtu wa karibu akilifanya ntaumia sina unafki huo
 
Mnashupalia mambo kishabiki tu.
Hii imekaaje? “Kushupalia” ni nini? Unamtambuaje mtu aliyeshupaa?

Anachofanya huyo binti kina tofauti gani na shule?
Hakina tofauti ndio, lakini nitajie shule uliyopitia wewe ikakufundisha jinsi ya kunyonya uchi wa binaadam mwenzako?

Au unamsakama kwa kuwa anafundisha kitu usichopenda wewe tu?
Nimemsakama vipi na wapi? Sina ruhusa ya kutoa maoni yangu?

Ameonesha uchi wake huko?
Wapi nimesema hivyo?

Kama kweli anachofanya ni kibaya hivyo, kwa nini hamumshitaki?
Kila jamii ina desturi, mila, tamaduni na taratibu zake za uendeshaji wa wana jamii husika.
Isiwe tu sababu ya utandawazi/technology basi kila jambo atakalolifanya binaadam ni Sawa kisa tu ana haki ya kuwa huru na kufanya atakavyo.
Wewe ni mtanganyika/mzanzibari uliyeishi sehemu ya maisha yako katika jamii ya watanzania, hebu niambie ni jamii ipi unayoifahamu wewe katika makuzi yako inayobariki utolewaji wa elimu ya jinsi ya kushiriki ngono hadharani?

Tujifunze kuheshimu jamii za wengine.

Ukimzuia huyo wasio Watanzania nao utawazuia humo mitandaoni?
Binaadam ana hulka ya kufanya ama kutenda kile kile anachoona ndugu yake/mtu ndani ya jamii yake ametenda na amefanikiwa.
Yeye kuwa tu mtanzania na kutumia platforms nyingi za hapa hapa Tanzania basi anatosha kuwa threat kwa kizazi kinachochipukia ambacho kwa desturi na taratibu za kitanganyika na kizanzibari Ngono na matendo yaambatanayo ni taboo kuyasema ama kuyafanya hadharani.

Na haina maana kwamba ukiona nyumba inawaka moto ukae chini unywe kahawa, unaweza rusha japo mchanga, hujui utaokoa nini.

Utawazuia wangapi?

Unaelewa kuwa mitandao haina mipaka, au huelewi hilo?
Naelewa sana lakini hiyo bado sio sababu tosha ya kunifunga mdomo misiseme ama kunishika mikono nisiandike kukemea.

Hii mitandao ilivyojaa picha na video za uchi, utazimaliza zote?
Kukemea mambo maovu hakuna maana ya kuyafuta ‘coz binaadam ni Kama panya.

Unapokemea unaokoa hata wale wenye tamaa ya kufuata mkumbo hata Kama sio wote, mmoja pia ni muhimu sana.

Kama hupendi habari hizo, kwa nini usimuase mwanao asizifuatilie?
Wanangu nawaasa lakini pia hakuna popote inapozuiliwa mimi kukemea hata hawa waliopo mtandaoni.

Yani kuna dunia nzima imejaa mchanga wenye uchafu, imejaa matope.

Wewe unalazimisha kutandika zulia dunia nzima mtoto wako asikanyage mchanga.
Hapana, Mimi napiga kelele huo mchanga wenye uchafu kuletwa sehemu hii ya dunia yangu, napiga kelele nikiwa eneo langu sijasemea kwa mtu.

Uchafu wa huko dunia ingine ubaki huko huko.

Kwa nini usimvalishe mtoto wako kiatu tu akawa hakanyagi uchafu popote anapokwenda?
Watoto wangu nawavika viatu wakiwa wanatoka kwangu kwenda huko dunia ingine.

Ndani kwao wanaruhusiwa kutembea peku, pana udhu.

Huoni kwamba hapa unapigana vita ya kijinga ambayo huwezi kushinda?
Kwamba siwezi kushinda ni kwa mujibu wa nani? Vita ya kijinga?! Kwa kulinganisha na vita ipi ya kielevu?

Huoni kwamba hata hapa umemtangazia biashara zake watu ambao tulikuwa hata hatuna habari zake tumemjua na wengine watazidi kwenda ku subscribe huko?
Kama ambavyo watajaa kwake kumfatilia ndivyo pia lipo kundi kubwa litamuepuka kwa sababu hizo hizo.

And that is Life.
 
Mpaka hapa bado unampa promo tu, unaelewa hilo?
 
Lilian anamfundisha mapaka mama na shangazi zake namna yakunyanduana.Hivyo ndivyo amevipata masomoni
 
Wewe unaumiza akili yako kuhusu huyo binti ambaye hata hajui kuwa wewe upo dunia hii.
Jamani!

Hiyo akili yangu nimeiumiza vipi?

Kutumia Uhuru wangu wa kutoa maoni yangu ndio kuumiza akili yangu?

Sijavunja sheria zozote za Nchi wala JF, tatizo ni nini?
 
Akishatengeneza fanbase /wafuasi wake mtandanoni ni easy sana hata kupush biashara zake mfano kama niffer. Umaarufu una gharama sana kuupata.

Punde utasikia analamba dili za ubalozi na kupush mandinga makali. Bado masponyo hawajatoa mtonyo
 
Ila dunia noma sana na inakwenda kwa kasi mno.

Zamani huwezi kusikia mwanamke anaitwa kungwi kama hajaolewa .

Ila sasa hivi mwanamke hata hajawahi kulala na kuamka kwa mwanaume kwa muda wa mwezi mmoja tayari anajiita kungwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…