Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misina akili nimekubali Hivi wewe mwenye akili umefanya nini cha maana huku dunianiHawa wengine kujadiliana nao ni kujisumbua tu.
Yani hawana hata elimu ya msingi kuhusu mambo kama uhuru wa mtu binafsi, wote wamekulia kama mifugo wanaswagwaswagwa tu "hameni kwenye vijiji vya Ujamaa, Mwalimu Nyerere kasema" wanahama kwa lazima kama ng'ombe. Hawajhi hata uhuru ni nini.
Wanaambiwa haya nunueni vyakula kwenye maduka ya kaya tu, ukinunua kwingine ni ulanguzi, wanakubali.
Wanaambiwa chama ni kimoja, CCM tu, hakuna chama kingine, wanakubali.
Wanaambiwa "Zidumu fikra za Mwenyekitii" wanaitikia "Zidumuuu".
Sasa watu kama hawa washazoea kwenda ki ng'ombe ng'ombe kwa kufuata kundi, herd mentality, kuja kuwaeleza kuwa mtu mmoja mmoja ana haki za kujiamulia mambo katika maisha yake mwenyewe mpaka wakakuelewa ni kazi sana. Ni kama wanahitaji rewiring kwenye ubongo kuelewa.
Wanakuwa kama samaki ambao maisha yao yote wamekulia baharini kwenye maji, ukiwaambia kuna jangwa la Sahara huko hakuna maji, hawawezi kukuelewa.
Hili ni tatizo kubwa sana katika kufanya mazungumzo na Watanzania wengi sana.
Wana mawazo mafupi sana lakini ni wabishi kupita maelezo.
Asilimia kubwa wanaomsupport huyu dada ukiwaambia what if mdogo wako wa kike au mtoto wako wa kike akifanya utamsupport wengi wanakua wakaliMtu anakuombia ni ushamba kutokumuelewa huyo dada na ni haki yake. Ni kweli sio kosa kisheria na uhuru anao.
Hapa hatumpimi kwa hizo sheria anapimwa kwa mila na desturi zetu.
Siamini hata hawa wanaodai ni haki yake kama angekuwa mtoto wao wanauwezo wakumsikiliza majumbani mwao na kufurahi mtoto wao anafanya kitu sahihi
Siku hizo watu wako bize kutambika na kutoa kafara,Basi angesubiri December wakienda kutana huko vilingeni awape somo Live na kwa vitendo.
Siku hizo watu wako bize kutambika na kutoa kafara,
Hii imekaaje? “Kushupalia” ni nini? Unamtambuaje mtu aliyeshupaa?Mnashupalia mambo kishabiki tu.
Hakina tofauti ndio, lakini nitajie shule uliyopitia wewe ikakufundisha jinsi ya kunyonya uchi wa binaadam mwenzako?Anachofanya huyo binti kina tofauti gani na shule?
Nimemsakama vipi na wapi? Sina ruhusa ya kutoa maoni yangu?Au unamsakama kwa kuwa anafundisha kitu usichopenda wewe tu?
Wapi nimesema hivyo?Ameonesha uchi wake huko?
Kila jamii ina desturi, mila, tamaduni na taratibu zake za uendeshaji wa wana jamii husika.Kama kweli anachofanya ni kibaya hivyo, kwa nini hamumshitaki?
Binaadam ana hulka ya kufanya ama kutenda kile kile anachoona ndugu yake/mtu ndani ya jamii yake ametenda na amefanikiwa.Ukimzuia huyo wasio Watanzania nao utawazuia humo mitandaoni?
Naelewa sana lakini hiyo bado sio sababu tosha ya kunifunga mdomo misiseme ama kunishika mikono nisiandike kukemea.Utawazuia wangapi?
Unaelewa kuwa mitandao haina mipaka, au huelewi hilo?
Kukemea mambo maovu hakuna maana ya kuyafuta ‘coz binaadam ni Kama panya.Hii mitandao ilivyojaa picha na video za uchi, utazimaliza zote?
Wanangu nawaasa lakini pia hakuna popote inapozuiliwa mimi kukemea hata hawa waliopo mtandaoni.Kama hupendi habari hizo, kwa nini usimuase mwanao asizifuatilie?
Hapana, Mimi napiga kelele huo mchanga wenye uchafu kuletwa sehemu hii ya dunia yangu, napiga kelele nikiwa eneo langu sijasemea kwa mtu.Yani kuna dunia nzima imejaa mchanga wenye uchafu, imejaa matope.
Wewe unalazimisha kutandika zulia dunia nzima mtoto wako asikanyage mchanga.
Watoto wangu nawavika viatu wakiwa wanatoka kwangu kwenda huko dunia ingine.Kwa nini usimvalishe mtoto wako kiatu tu akawa hakanyagi uchafu popote anapokwenda?
Kwamba siwezi kushinda ni kwa mujibu wa nani? Vita ya kijinga?! Kwa kulinganisha na vita ipi ya kielevu?Huoni kwamba hapa unapigana vita ya kijinga ambayo huwezi kushinda?
Kama ambavyo watajaa kwake kumfatilia ndivyo pia lipo kundi kubwa litamuepuka kwa sababu hizo hizo.Huoni kwamba hata hapa umemtangazia biashara zake watu ambao tulikuwa hata hatuna habari zake tumemjua na wengine watazidi kwenda ku subscribe huko?
Mpaka hapa bado unampa promo tu, unaelewa hilo?Hii imekaaje? “Kushupalia” ni nini? Unamtambuaje mtu aliyeshupaa?
Hakina tofauti ndio, lakini nitajie shule uliyopitia wewe ikakufundisha jinsi ya kunyonya uchi wa binaadam mwenzako?
Nimemsakama vipi na wapi? Sina ruhusa ya kutoa maoni yangu?
Wapi nimesema hivyo?
Kila jamii ina desturi, mila, tamaduni na taratibu zake za uendeshaji wa wana jamii husika.
Isiwe tu sababu ya utandawazi/technology basi kila jambo atakalolifanya binaadam ni Sawa kisa tu ana haki ya kuwa huru na kufanya atakavyo.
Wewe ni mtanganyika/mzanzibari uliyeishi sehemu ya maisha yako katika jamii ya watanzania, hebu niambie ni jamii ipi unayoifahamu wewe katika makuzi yako inayobariki utolewaji wa elimu ya jinsi ya kushiriki ngono hadharani?
Tujifunze kuheshimu jamii za wengine.
Binaadam ana hulka ya kufanya ama kutenda kile kile anachoona ndugu yake/mtu ndani ya jamii yake ametenda na amefanikiwa.
Yeye kuwa tu mtanzania na kutumia platforms nyingi za hapa hapa Tanzania basi anatosha kuwa threat kwa kizazi kinachochipukia ambacho kwa desturi na taratibu za kitanganyika na kizanzibari Ngono na matendo yaambatanayo ni taboo kuyasema ama kuyafanya hadharani.
Na haina maana kwamba ukiona nyumba inawaka moto ukae chini unywe kahawa, unaweza rusha japo mchanga, hujui utaokoa nini.
Naelewa sana lakini hiyo bado sio sababu tosha ya kunifunga mdomo misiseme ama kunishika mikono nisiandike kukemea.
Kukemea mambo maovu hakuna maana ya kuyafuta ‘coz binaadam ni Kama panya.
Unapokemea unaokoa hata wale wenye tamaa ya kufuata mkumbo hata Kama sio wote, mmoja pia ni muhimu sana.
Wanangu nawaasa lakini pia hakuna popote inapozuiliwa mimi kukemea hata hawa waliopo mtandaoni.
Hapana, Mimi napiga kelele huo mchanga wenye uchafu kuletwa sehemu hii ya dunia yangu, napiga kelele nikiwa eneo langu sijasemea kwa mtu.
Uchafu wa huko dunia ingine ubaki huko huko.
Watoto wangu nawavika viatu wakiwa wanatoka kwangu kwenda huko dunia ingine.
Ndani kwao wanaruhusiwa kutembea peku, pana udhu.
Kwamba siwezi kushinda ni kwa mujibu wa nani? Vita ya kijinga?! Kwa kulinganisha na vita ipi ya kielevu?
Kama ambavyo watajaa kwake kumfatilia ndivyo pia lipo kundi kubwa litamuepuka kwa sababu hizo hizo.
And that is Life.
Mpaka hapa bado unampa promo tu, unaelewa hilo?
Kila unapojibu uzi huu hii unaurudisha juu na kumuongezea viewers huyo binti.Hiyo ni kwa mujibu wa perception yako, Nakuelewa.
Kila unapojibu uzi huu hii unaurudisha juu na kumuongezea viewers huyo binti.
Wewe unaumiza akili yako kuhusu huyo binti ambaye hata hajui kuwa wewe upo dunia hii.Ni kawaida nzi kujaa kwenye mzoga.
Jamani!Wewe unaumiza akili yako kuhusu huyo binti ambaye hata hajui kuwa wewe upo dunia hii.
Akishatengeneza fanbase /wafuasi wake mtandanoni ni easy sana hata kupush biashara zake mfano kama niffer. Umaarufu una gharama sana kuupata.Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kuwa na elimu halafu ukose pesa hapa duniani uone kama hujadhalilik katika jamii yakoBiblia inasema usiache elimu iende zake , na kidunia ni bora uwe na elimu kuliko kubaki mweupe elimu inakusitiri usiabike
Elimu ndio ufunguo wa hzo za hellaKuwa na elimu halafu ukose pesa hapa duniani uone kama hujadhalilik katika jamii yako