Wakiwa machawa watasema ila watu wanajenga huko ...Serikali wanapuuza wasomi acha watu wafanye kazi mkono uende tumboni.Unajua darasa la Saba wanawachukia Sana wasomi.
Wakiwa kungwi hawataki
Wakiwa saidia FUNDI na wachoma mahindi hapo ndo wanasema safi Sana.
😁😁😁😁 waache Dada apige pesa maana taifa la watu wanaowaza ngono 24/7 unabidi uwaletee content zao zinazo match na akili zao
Biblia inasema usiache elimu iende zake , na kidunia ni bora uwe na elimu kuliko kubaki mweupe elimu inakusitiri usiabikeUnaposomesha mtoto unamtayarisha na maisha yake ya baadae sio kama kaona hiyo ndio fursa kwake na inampa kipato cha kujikimu ni maamuzi yake kinachokuumiza wewe nini somesha wako!
Hakika!Biblia inasema usiache elimu iende zake , na kidunia ni bora uwe na elimu kuliko kubaki mweupe elimu inakusitiri usiabike
Hahahahaha Malaya MsomiDuh! Hiki kizazi cha sasa.. Yani wasichana wadogo wanatengeneza content za kufundishana namna ya kumeza ngoma!! Halafu unajisifu una mtoto umefundisha.
Kwa maana nyengine, huyu ni malaya msomi. Kaamua kujiongeza zaidi ili ajipatie jina na kipato. Aisee, hii dunia inapokwenda!
HahahahahaDah mtoto anaonekana akishika mic lazima liboro fc ishinde goli la mdomoni
Akili za timu upinde hiziHela za familia yake, degree yake, maisha yake. Muache aishi anavyotaka.
Ukitaka kuwachunguza watu hutawamaliza.
Pangana na mwanao umsomeshe unavyotaka, afanye mtakachokubaliana.
Hip Hop TuHela za familia yake, degree yake, maisha yake. Muache aishi anavyotaka.
Ukitaka kuwachunguza watu hutawamaliza.
Pangana na mwanao umsomeshe unavyotaka, afanye mtakachokubaliana.
That's a right to self determination.Akili za timu upinde hizi
Wabongo wengi kama wanaolalamika hapa hawaelewi uhuru ni nini, wanawangiana wenyewe kwa wenyewe kunyimana uhuru wa msingi.Hip Hop Tu
Si ndiyo video yake ya kutigo na aslay imetrend?🥴Duh! Hiki kizazi cha sasa.. Yani wasichana wadogo wanatengeneza content za kufundishana namna ya kumeza ngoma!! Halafu unajisifu una mtoto umefundisha.
Kwa maana nyengine, huyu ni malaya msomi. Kaamua kujiongeza zaidi ili ajipatie jina na kipato. Aisee, hii dunia inapokwenda!
Kufuatilia maisha ya watu baki ambao hawakuhusu kitu, kwa kutaka kuya control, ni ujinga tu, inawezekana ni aina fulani ya ugonjwa wa akili wa kutaka ku control watu.
Wewe ni mama yake au baba yake? Kama wewe sio kati ya hao basi funga mdomo wako na ukae kimya!
Haswaaah [emoji23][emoji23][emoji23]Mnasemaga tujiajiri? Kajiongeza mwamba huyo hapo