Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Nimekurahishia jibu tu usinipe kazi ya kujibu maswali ya kipuuzi
Unajua kusoma?Wapi nimekuuliza mambo ya kibali?Mimi nimekuuliza kuwa unaelewa tofauti kati ya mkutano na kikao cha ndani?Kwa nini unajibu maswali ambayo hujaulizwa?!Wewe ni kichwa maji?
 
Nimekurahishia jibu tu usinipe kazi ya kujibu maswali ya kipuuzi
Yaani unajibu swali ambalo sijakuuliza halafu unadai kuwa umenirahisishia majibu?!Nikikuita mbumbumbu utanilaumu?CCM wanaelewa kuwa wametuma mbumbumbu kufanya propaganda dhaifu kwenye mitandao?
 
Ni Kilwa na Chato tayari uvunjifu mkubwa wa demokrasia unaendelea kabla hata kampeni hazijaanza. Huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm tusikubali.
 
Juni 21, 2020
Dr. Bashiru Ally - CCM hatutaki ombwe la uongozi, endeleeni kukitangaza chama
NI VEMA WABUNGE,WAWAKILISHI NA MADIWANI WA CCM WAKAACHWA WAENDELEE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO INGAWA BUNGE NA MABARAZA YA MADIWANI YAMESHA VUNJWA

DKT. BASHIRU AFAFANUA UKOMO WA WABUNGE, WAWAKILISHI NA MADIWANI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally leo tarehe 21 Juni, 2020 ameongoza mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na watumishi wa Makao Makuu, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa ufafanuzi wa ukomo wa wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM.
 
Hana historia ya kushinda chochote maishani,bila kubebwa
 
Kazi kweli kweli hii serikali ya CCM Mpya inakamata wanasiasa wa upinzani walio ktk shughuli za kawaida kuelekea 2020.

Upande mwingine Dr. Bashiru Ally anafanya siasa na kuwakumbusha wanaCCM waliomaliza muda wao wa uongozi yaani wabunge na madiwani wa CCM Mpya wasibweteke waendelee kuchapa kazi na kweli wao wanasiasa wa CCM Mpya wamewekewa kinga ya 'uwigo' maalum wasikamatwe !
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…