Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni lazima virudishwe serikalini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Meya wa manispaa ya Moshi bw. Jaffary (chadema) amewaburuza mahakamani viongozi wa ccm akiwemo mkurugenzi wa manispaa ya Moshi kwa kosa la kupora viwanya vya michezo na kuvigeuza vya ccm. kesi bado inaendelea tunasubiri hukumu, na wakitoa hukumu ya kuipendelea ccm mijengo yao walioijenga huko inakula kiberiti yote. KAMA NOMA NAIWE NOMA
. Huu ni mwanzo mzuri sana, ni lazima tuhakikishe mali za umma. CCM ni waharibifu, angalia uwanja wa Sokoine Mbeya, Samora Iringa na vingine vingi imeshindwa kuvitunza na kuviendeleza, kwa kuwa hata kwenye bajeti yake hawana fungu la kuendeleza viwanja. Kuna kipindi uwanja wa Sokoine Mbeya ulikuwa hauna hata makufuli na badala yake mageti yakawa yanafungwa kwa waya. Hii ni aibu kubwa sana.Meya wa manispaa ya Moshi bw. Jaffary (chadema) amewaburuza mahakamani viongozi wa ccm akiwemo mkurugenzi wa manispaa ya Moshi kwa kosa la kupora viwanya vya michezo na kuvigeuza vya ccm. kesi bado inaendelea tunasubiri hukumu, na wakitoa hukumu ya kuipendelea ccm mijengo yao walioijenga huko inakula kiberiti yote. KAMA NOMA NAIWE NOMA
![]()
Jukwaa kuu la Stadium ya Ali Hassan Mwinyi Tabora uwanja uliokuwa nyumbani kwa timu ya Milambo iliyoanzishwa na hayati Laurence Mtazama Gama. Kwa sasa uwanja huu ni maficho ya makahaba kufanya ufuska na maficho ya vibaka. Je Majimaji, Singida, CCM Kirumba nk viwanja vikoje? Vinatunzwa?
picha kwa hisani ya Mjengwa.
iko kazi kama si ubadhilifu wa mali ya umaa then sijui nini?
Hili la viwanja kama ni kweli CCM walivichukuwa Serikalini wakati wa chama kimoja, inabidi wavirudishe Serikalini, SIO haki hata kidogo. Viwanja vya Watanzania wote na si vya CCM pekee.
Siongelei uchama hapa naongelea utaifa, kwa hiyo tunzeni adabu zenu na msianze kunizozomokea.
FF hata vikirudishwa serikalini, serikali itaweza kuviendeleza?
Wanaweza au wasiweze, kwanza virudishwe Serikalini. Halafu huko tutajuwa wanaweza au hawawezi. Ijulikane kabisa kuwa hiyo siyo mali ya CCM.
ubadhilifu = ubadhirifu