Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
calm down plz gentleman 🐒Umepata chaka la kujificha!Najua umeelewa ila unakaza fuvu!Ndio maana nimekiri,kazi mnayoifanya inahitaji kipaji cha hali ya juu!
calm down plz gentleman 🐒Umepata chaka la kujificha!Najua umeelewa ila unakaza fuvu!Ndio maana nimekiri,kazi mnayoifanya inahitaji kipaji cha hali ya juu!
Muwe na akiba ya maneno,uwanja unaweza inama mkakosa pa kuweka sura zenu!Kisayansi kwa Mwanaume ni siku 7 tuu so Next monday tutajua kama kafa au lah R.I.P
Nimeshadeal na wanaojizima data Kuliko wewe for more than a decade humu JF!I'm still here!So ondoa shaka kabisa!I'm good!calm down plz gentleman 🐒
ok sawa,Nimeshadeal na wanaojizima data Kuliko wewe for more than a decade humu JF!I'm still here!So ondoa shaka kabisa!I'm good!

Ndio,acha tuone itampa matokeo gani!ok sawa,
tuendelee na mgomo wa kula chakula sasa![]()
Hujawahi kuwa na akili!mawakili gani hao?
mbona Tundu Lisu hakuwahi kua na mawakili, wala hakuna wakili alie kua akimtetea mahakamani, na hata mashahidi wake tu aliamua kuwaweka viongozi vilaza wa chadema kwa kujimwambafai tu, tena wasio wanasheria na kumdharau hata mwanasheria mkuu wa chama chake mwenyewe, sijui anaitwa wakili nani sijui yule.
Dunia nzima inajua Tundu Lisu hakua na wakili wa kumtetea na alijitetea mwenyewe mwanzo mwisho hadi mwisho wa kesi yake ambayo hivi sasa inasubiri hukumu tu. Acheni unafiki.
Ni vizuri Tundu Lisu na chadema kwa ujumla wake wakaacha porojo, uongo na upotoshaji useless wa hadharani kama huu na itapendeza zaidi.
Kutafuta kiki na public sympathy nonsense namna hii ni vitu useless sana aise 🐒
Yaani watu waache kufanya kazi zao za muhimu zaidi za kuwatumikia wananchi, watafakari njaa ya mtu mwingine gentleman? surely?Ndio,acha tuone itampa matokeo gani!
Najua hata huko wakubwa wanatafakari way out!Sio jambo rahisi kama unavyolitazama!
Mara paaap anapata medical issues,anakimbizwa hospitali na inakuwa too late!
Najua utafanya mzaha,ila hii ni worst case scenario ambayo watawala hawataki itokee!
Maana huwezi kujua reaction itakuwaje unless uko tayari kwa outcome yoyote!

IQ yako ndogo sana ! kwani wakili mpaka akutetee mahakamani hata ushauri wa kisheria wakili anaweza kupamawakili gani hao?
mbona Tundu Lisu hakuwahi kua na mawakili, wala hakuna wakili alie kua akimtetea mahakamani, na hata mashahidi wake tu aliamua kuwaweka viongozi vilaza wa chadema kwa kujimwambafai tu, tena wasio wanasheria na kumdharau hata mwanasheria mkuu wa chama chake mwenyewe, sijui anaitwa wakili nani sijui yule.
Dunia nzima inajua Tundu Lisu hakua na wakili wa kumtetea na alijitetea mwenyewe mwanzo mwisho hadi mwisho wa kesi yake ambayo hivi sasa inasubiri hukumu tu. Acheni unafiki.
Ni vizuri Tundu Lisu na chadema kwa ujumla wake wakaacha porojo, uongo na upotoshaji useless wa hadharani kama huu na itapendeza zaidi.
Kutafuta kiki na public sympathy nonsense namna hii ni vitu useless sana aise 🐒
Ndio maana nasema,utachukulia mzaha lakini Lissu sio Mimi au wewe!Yaani watu waache kufanya kazi zao za muhimu zaidi za kuwatumikia wananchi, watafakari njaa ya mtu mwingine gentleman? surely?![]()
Pia hajui kuwa magereza kule,mtu anaorodhesha mawakili wake ili wasipate usumbufu kwenye visitation!IQ yako ndogo sana ! kwani wakili mpaka akutetee mahakamani hata ushauri wa kisheria wakili anaweza kupa
toa mawazo yako mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine bila kujipiga kifua kwa mihemko nonsense jukwaani gentleman na itapendeza zaidi 🐒IQ yako ndogo sana ! kwani wakili mpaka akutetee mahakamani hata ushauri wa kisheria wakili anaweza kupa
yaani wewe ushinde njaa kwa hiyari yako halafu mimi nibabaike, right gentleman?Ndio maana nasema,utachukulia mzaha lakini Lissu sio Mimi au wewe!
Huyo ni mwenyekiti wa Chama Cha upinzani chenye wafuasi wengi zaidi nchini!
Wanapokaa kwenye vikao vyao vya ulinzi na usalama,Lazima wamtafakari Lissu na hatua aliyochukua!Maswali Lazima yawepo,Vp lolote baya likimkuta baada ya mgomo wake wa kula,tunajihakikishia hakuna tishio lolote la uvunjifu wa amani?
Wasipofanya hivyo maana yake hawatimizi majukumu Yao,maana Lazima mnuse viashiria vyote vinavyoweza kuleta uvunjifu wa amani na counter measures!
Hii kesi ina public interest lakini pia mataifa wanaitupia macho!
Kwahiyo kumfikiria Lissu ni sehemu ya kuwatumikia wananchi Kwa maana ya ulinzi na usalama!
Look at the big picture na sio Lissu kama Lissu tu!

Daaah aiseee,kazi ipo ila darasa Lazima tuendelee kulitoa!Sio Lazima uelewe wewe,wasomaji wengine wenye reasoning wataokota kitu either kwangu au kwako kutokana na mjadala!Iingekuwa tunachat privately,ningeshakukimbia mapema ila hapa ni sehemu ya wazi so hata kwa faida ya wengine!yaani wewe ushinde njaa kwa hiyari yako halafu mimi nibabaike, right gentleman?![]()
gentleman,Daaah aiseee,kazi ipo ila darasa Lazima tuendelee kulitoa!Sio Lazima uelewe wewe,wasomaji wengine wenye reasoning wataokota kitu either kwangu au kwako kutokana na mjadala!Iingekuwa tunachat privately,ningeshakukimbia mapema ila hapa ni sehemu ya wazi so hata kwa faida ya wengine!
Mohamed Bouazizi,unamkumbuka?Huyu ni kijana wa Tunisia ambaye baada ya kuvunjiwa Banda lake la biashara,alijichoma moto,akafa!Right?
Hiyo ilikuwa sababu ya watunisia hasa vijana kuamka na kuanzisha vuguvugu lililosababisha Rais aliyekaa madarakani kwa miaka 30 kujiuzulu!
Nikiweka kwa kauli Yako,"Yaani wewe ujichome moto Halafu Mimi nihangaike,right gentleman"?
Wewe unaweza kuleta mzaha ila naamini vyombo husika they take it seriously!
Akipewa haki zake,utakuwa wa kwanza kuja hapa kusifu watawala na blah blah kibao!
Mlidharau mkasema watu wataandamana kwenda kupiga kura na kwamba Hali ni shwari!Mzaha mzaha,nchi ikajikuta gizani na hasara kwa kusimama kwa shughuli za uchumi kwa siku kadhaa kwenye majiji makubwa nchini!gentleman,
hakuna chombo cha umma kitakacho babaika na mususia chakula kama ambavyo hakuna aliebabiaika na wasusia uchaguzi mkuu wa Oct 2035🐒
waliofanya mzaha wako wapi leo gentleman kama sio wamesahaulika na wengine wanaishi kama digidigi tu na taifa na waTanzania wote wanasonga mbele tu bila mbambamba yoyote 🐒Mlidharau mkasema watu wataandamana kwenda kupiga kura na kwamba Hali ni shwari!Mzaha mzaha,nchi ikajikuta gizani na hasara kwa kusimama kwa shughuli za uchumi kwa siku kadhaa kwenye majiji makubwa nchini!
Total lockdown nikaishuhudia kwa mara ya kwanza nchini mwangu!
Walau somo limepatikana kwamba watu wanapoumizwa kwa muda mrefu uvumilivu hufikia kikomo!
Sio suala dogo mpaka Rais wa nchi akakosa kuapishwa uwanja wa Taifa na badala yake sherehe za uapisho zikawa kama Ibada ya kwenda kumpumzisha marehemu!
Oct 29 imeweka historia mbaya ambayo haitasahaulika nchi hii!
Waliofanya mzaha ni Samia na genge lake mpaka kufikia kuingiza nchi kwenye machafuko na mauaji kwa watanzania kwa maelfu!waliofanya mzaha wako wapi leo gentleman kama sio wamesahaulika na wengine wanaishi kama digidigi tu na taifa na waTanzania wote wanasonga mbele tu bila mbambamba yoyote 🐒
ok.Waliofanya mzaha ni Samia na genge lake mpaka kufikia kuingiza nchi kwenye machafuko na mauaji kwa watanzania kwa maelfu!
Rais ni kama digidigi kwenye nchi yake,mwaka mzima hakuna ziara!Anajua anaongoza watu wasiompenda!
Rais wa kwanza kuapishwa uchochoroni!Hatokuja ajue ladha ya kuapishwa ukiwa mshindi halali huku umezungukwa na umati ukikushangilia kwa furaha!Hiyo ndio imeisha hiyo!
Akitoka madarakani ndio atajua kiasi gani watu walisubiri Hilo sana!
Saivi machawa mnafanya damage control walau kupoza poza tu!Nenda field upate maoni ya watu!

Karibu!