Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Kwenye zoezi la kususia msosi au?šKaribu!
Kwenye zoezi la kususia msosi au?šKaribu!
Okay!Kwenye zoezi la kususia msosi au?š
Wakili anaweza kupa ushauri au msaada wa kisheria bila kuwepo mahakamani, pamoja Lisu kuwa mbobevu inawezekana mawakili walikuwa wanampa mbinu za kisheria dhidi ya kesi nzito kuliko zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bahati mbaya wewe umekaa kimwemko wa kisiasa badala ya kutumia comon sense Gentleman !toa mawazo yako mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine bila kujipiga kifua kwa mihemko nonsense jukwaani gentleman na itapendeza zaidi š
aliwakataa mawakili hadharani tena kwa dharau sana akadai atajitetea mwenyewe, leo hii umuhimu wao umetoka wapi na mapenzi yake kwao yametoka wapi ghafla hivi hata kufikia hatua ya kugomea msosi kwaajili yao?Wakili anaweza kupa ushauri au msaada wa kisheria bila kuwepo mahakamani, pamoja Lisu kuwa mbobevu inawezekana mawakili walikuwa wanampa mbinu za kisheria dhidi ya kesi nzito kuliko zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bahati mbaya wewe umekaa kimwemko wa kisiasa badala ya kutumia comon sense Gentleman !

Kukutetea na ushauri ni vitu tofauti ila maana moja Gentlemanaliwakataa mawakili hadharani tena kwa dharau sana akadai atajitetea mwenyewe, leo hii umuhimu wao umetoka wapi na mapenzi yake kwao yametoka wapi ghafla hivi hata kufikia hatua ya kugomea msosi kwaajili yao?
mbona hii drama ni ya kinafiki sana gentleman?![]()
muhaini anasubiria hukumu hana fursa hiyo kote ulimwenguni gentleman, anafaa kua kwenye ulinzi mkali kuliko kawaida kwasababu anaweza kuji Adolf Hitler kabla ya hukumu yake šKukutetea na ushauri ni vitu tofauti ila maana moja Gentleman
Magereza wamejibu hii propaganda, mmedhibitiwa kila kona.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani.
Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk Rugemeleza Nshala Oktoba 24, kuwa kiongozi huyo alipinga kuzuiwa kuzungumza na mawakili wake kwa faragha kama ilivyoelekeza amri ya Mahakama iliyotolewa Oktoba 16, baada ya mawakili wa Lissu kufungua kesi.
Soma pia: Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia Oktoba 26, 2026, CHADEMA imesema hatua hiyo inakuja wakati haki ya Lissu kupata msaada wa kisheria, mawasiliano na uwakilishi wa mawakili wake ikiendelea kuwa suala la wasiwasi.
Soma zaidi: Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mawakili wa Lissu, Dickson Matata, Doris Kafuku na Neema Massame, walikwenda gerezani kwa lengo la kumwona na kuwasiliana naye, lakini walizuiwa kuingia.
CHADEMA imesema hali hiyo inazua maswali kuhusu upatikanaji wa huduma za kisheria na namna haki za Lissu zinavyolindwa akiwa gerezani.
āTunazitaka mamlaka husika kuhakikisha mawakili wake wanaruhusiwa kumwona bila vikwazo visivyo na msingi wa kisheria, na kuchukua hatua za haraka kulinda usalama na ustawi wake,ā imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Chama hicho kimeongeza kuwa kinafuatilia kwa karibu hali ya Mwenyekiti wake na kitaendelea kuujulisha umma kuhusu maendeleo ya suala hilo.
Taarifa hiyo imetolewa na Brenda Rupia, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA.
View attachment 3699443
Muhaini wa CCMmuhaini anasubiria hukumu hana fursa hiyo kote ulimwenguni gentleman, anafaa kua kwenye ulinzi mkali kuliko kawaida kwasababu anaweza kuji Adolf Hitler kabla ya hukumu yake š