Cheap politics Kwa kiwango Cha elimu aliyonayo hakitendei haki kiwango chake Cha elimuSasa kama ni hivyo unavyo fikiria wewe, tatizo liko wapi?
Kwa vile watu anaohutubia watamwona kuwa na sifa hizo unazodai, si hiyo ndiyo itakuwa nafuu kwenu, au unatakaje?