Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Kweli wewe ni Kilaza
 
Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya kipuuzi namna hii. Yaaani binadamu mwenzetu anaonewa kiasi hiki tena waziwazi na wala tusichukue hatua...
Utazilinda ukiwa na nani mzee?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyo unaetegemea kulinda nae anakusubiria kwake akiwa katega Channel ten
 
Sasa kibali hajapewa analazimisha kuruka,muhimu jeshi liwe makini akilazisha kurusha ipopolewe tu na kombora.
Hii nchi ina safari ndefu sana kama watu ndio kama wewe wanaodhani uhai wa wenzao hauna maana kwa sababu tu ya madaraka
 
Nazidi kukushauri upunguze munkari ndugu yangu. Umelishwa uongo mwingi na bahati mbaya unazikubali kama zilivyo. Hayo yote uliyoyaeleza hapo juu hazina hata chembe ndogo ya ukweli. Nazidi kukushauri, tunakupenda kama mtanzania mwenzetu punguza munkari. Pressure itakuuwa bure. Lingine nakushauri uwe unasemea nafsi yako na siyo kutumia neno tuta.....Ni wewe mwenyewe utakayemwaga damu yako. Siyo watanzania wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…