Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

..aliipuuza vipi wakati alikuwa kajificha Chato kwa zaidi ya siku 40?

..ktk corona naheshimu mchango wa Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile.
Aliposema tuendelee na shughuli zote kama kawaida na hadi leo hii ndio imekuwa hivyo tofauti na ulaya ambapo wengi wamerudi lockdown, ulielewa nini? Angewasikiliza na kelele zenu za lockdown leo mngekuwa na hiyo mikusanyiko?!
 
..aliipuuza vipi wakati alikuwa kajificha Chato kwa zaidi ya siku 40?

..ktk corona naheshimu mchango wa Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile.
Kwahiyo ummy na ndugulile walikua wanajiamulia maswala ya kitaifa bila rais mwongozo wa rais😂
 
Tangulia wewe kuchukuwa hatua. Kama ni kuandamana tangulia wewe. Wewe una uchungu lakini kuwa mstari wa mbele hutaki. Unawahamasisha wengine waandamane kwa faida yako na Lissu. Huo uhuru unaotaka, kwa nini unataka wengine wakutetee na siyo wewe uwe mbele na sisi tufuate. Acha kujificha huku JF na kujifanya mpiganaji kumbe muoga kama kunguru.
 

..wakati mwingine mamlaka hazitendi wajibu wao mpaka uzitishie.

..unakumbuka tukio la Tundu Lissu kuzuiliwa na Polisi maeneno ya Kiluvya alipokuwa akielekea Mlandizi?

..bila Tundu Lissu kuwavimbia wale Polisi wangeendelea kumletea ujinga kila anapokwenda.

..Au tukio la IGP Sirro kumtisha Tundu Lissu na kumuamrisha akaripoti kituoni Kilimanjaro bila sababu za msingi.

..Lissu angetekeleza agizo lile batili la IGP Sirro basi angeendelea kunyanyaswa kampeni nzima.

..Binafsi nadhani UZALENDO kwa nchi yetu ni pamoja na kutendeana HAKI wakati wote.
 
Aliposema tuendelee na shughuli zote kama kawaida na hadi leo hii ndio imekuwa hivyo tofauti na ulaya ambapo wengi wamerudi lockdown, ulielewa nini? Angewasikiliza na kelele zenu za lockdown leo mngekuwa na hiyo mikusanyiko?!
..yeye mbona alikuwa kajificha huku akielekeza wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida?

..mimi nawashukuru Ummy Mwalimu na Faustine Ndugulile na vyombo vya habari waliohimiza wananchi wachukue tahadhari.

..Hatua za tahadhari tulizochukua kipindi kile ndizo zilizosaidia ugonjwa usienee hapa Tanzania.

..Mwisho, Waafrika tuna BAHATI kwamba ugonjwa huu haujatuathiri kama ilivyotokea kwa nchi za Ulaya na Amerika. Katika hilo pia tunapaswa kumshuru Mwenyezi MUNGU.
 
kwahiyo unafikiri ukiwa na chopper unajirushia muda wowote unaotaka?😄
hali ya hewa ukanda huu wa pwani leo umeiona?angeweza hata kupanda ndege za kawaida ili awahi ratiba zake,hamna haja ya kulazimisha mambo.
Pumbavu ameenda na kufika. Vimbunga vya kubumba ni vya mataahira walioiba urais
 
..bwana mkubwa alikuwa kajificha.[emoji1787]

..baada ya Umy na Faustine kuweka mambo sawa ndio akajitokeza.

..Shame on him!
Ndugulile alitenguliwa cheo chake kwanini?
Nirais ndio anaamuru lockdown hata Ummy angetaka lockdown na kutoa upadate kila siku asingefanya hivyo bila idhini ya rais.

Rais alimua na kutoa maelekezo wasaidizi wake ni kutekeleza na kumshauri .

Ingawa nyie mnasema hashauriki na kama hashauriki kwa hiyo maamuzi yanabaki kuwa aliamua yeye mwenyewe rais na kuwaelekeza wasaidizi wake.

Labda tufute kauri ya hashauriki then tuseme wasaidizi wake walimshauri vyema.

Yote katika yote hitimisho ni Rais wetu juu ya Corona aliamua vyema na maamuzi yake yamekua na manufaa kwetu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hili jinga linazidi kulalamika kila ka kitu kulalamika, we unaambiwa usubiri kwa sababu za kiusalama wa anga unakuja mbio kulalamika kwa mabwanyeye wenu mitandaoni, ovyo kabisa machadema.
 

..Ukitaka kujua UDHAIFU wa Watanzania ktk suala hili angalia jinsi ambavyo hawa-appreciate / acknowledge kabisa Madaktari, Wauguzi, na Watumishi mbalimbali ktk sekta ya Afya, kwa jitihada zao wakati wa tishio la Covid-19.
 
Hivi kwanini hapendi kutii sheria bila shuruti
Kama huna cha kuongea kaa kimya,
1. Baba ako mzee Lowassa alinyanyaswa zaidi ya hivi 2015, unahisi ni kwa sababu ya kutokutii sheria?

2. Umesahau kaka yako Bob alivyonyanyaswa na Radio 5 kipindi mzee yuko CDM? unadhani hakutii sheria?

3. uneshahau Fredy alivyo nyanyaswa pale ofic zenu ya Garage (Mandela Road) unadhani ni kwa kutokutii sheria.
 
Nguchiro kwa binadamu ni tusi. Umeongeza neno .. wakike. Kwa kuamini kwamba wa kike ni tusi zaidi.
Swali; Ina maana wewe kwenu kuwa wa kike ni kukosa thamani?

..huyo ameiga kwa Jpm.

..hakuna raisi aliyedhalilisha wanawake kumzidi Jpm.
 
Hivi kwanini hapendi kutii sheria bila shuruti
Atii Sheria ipi? Sheria ya mwaka gani? Kumzuia kwenda kwenye kampeni zake bila sababu? Kwanini hamtumii akili zenu? Umzuie mtu haki yake, akikuuliza kwanini unadai siyo mtii wa sheria. Mnataka atii sheria ipi? Ya kumkandamiza? Hebu tumieni hekima kidogo, acheni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…