Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

Hapo ndio ujiulize ni Wapinzani au ni CCM wanaoweza kuharibu amani yetu?
 

..You have good points.

..hata mimi sikutegemea Tundu Lissu aendelee na chopa baada ya kumaliza kampeni Same Kilimanjaro jana.

..angerudi Dsm kwa magari, ingemchukua masaa 6 mpaka 7 mwendo wa kawaida kuhakikisha anawahi kampeni za leo.

..I think this was a tactical mistake ukizingatia kuwa muenendo wa Tcaa unajulikana.

NB:

..pia jana wangeweza kuanza kampeni Handeni, halafu Same Mashariki, na kumalizia Same Magharibi. Hapo tayari wangekuwa wako barabara kuu ya kuelekea Dsm.
 
TCAA na nyie mmekubali kutumiwa na CCM? mbona mambo ya ajabu sana haya mnayafanya?
 
Inauma sana!!yna ccm nchi ka ya kwao peke yao!!MUNGU ATATENDA MIUJIZA KAMA SIO ZANZBAR BASI BARA..
 
Hii website ya jamiiforum imeshakuwa kama tawi la ccm kwasababu kuna watu huwa wanataka kuilinganisha na mitandao mizito ya kijamii kama facebook au twiter huwa nawacheka sanaaaaa
jamii forum siku hizi sio wenzetu na wala hupaswi kuwaamini pale unapotaka kutoa habari yenye kuisema serikali....hufuta nyuzi nyingi sana....huwezi jua makubaliano ya melo na SIRIKALI ndio maana siku hizi hawamsumbui.....me nahisi huu mzigo unaweza kuwa hata umebinafsishwa kwa WAZEE WA VIPENYO hivyo wanatuchora tu.....hujuulizi kwann twita ,fb,ista hazifanyi kazi ila jamii forum tu....'?
 
Nyie watu mnasingizia jamaa yenu kapigwa risasi na mnaowadhania nyie. Hebu mleteni dereva wake aje atoe ushuhuda mbona kafichwa nje. Acheni kuwa na ufinyu wa fikra.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa si uende road mbona unatokwa povu tu humu?
 
nani atawaongoza sasa si watajikuta wako songea au msumbiji huko lazima wapewe coordinates kuwa wasafiri kwa msafa haya
Chopa sio sawa na ndege zingine bila v coordinate unafika popote tu kwa kutumia gps na visibility ya chini unaruka chinichini tu
 
Lissu naye unatia kichefuchefu! uondoke bila kibali unadhani hiyo ni Toyota yako? Chopa, Chopa ndo kitu gani! Ndege dhaifu kabisa hiyo inayoweza kuanguka bila sababu ndo unajidai kuondoka bila kibali? Ubwege huo!
Jilaumu kwa ratiba mbovu. Kama ulijua unafanyiziwa sabotage kwa nini upange ratiba ya aina hiyo? wewe hujui kuruka vikwazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…