Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Hilo lipo wazi
Mama alianza vema akasema ataongea na vyama vya upinzani hadi leo.
Mwenye roho mbaya ni Waziri mkuu ndo wanayemuona meko aliyebaki
Majariwa ni hovyo muongo mnafiki amemdhibiti Samia kwa kutumia mfumo Dume
Majaliwa kamteka Siro,kamteka Diwani Athumani ili wamuogopeshe Samia
Na Samia ana hulka ya woga na uvivu
 
Mkuu unaipigia wapi hii kitu??

Right after my shift ends I would like to join for a cup or two.

Hii hapa coffee house huku stone town karibu na mchamba wima pale nshaizoea sana
Mkuu wangu pamoja na kunywa katika "coffee houses" ila ukiwa na "MOKA POTS" ama ESPRESSO light machine unajitengenezea mwenyewe na hakika "unainjoi sana"....sisi wengine huo ndio "ulevi wetu" 🤣

Supermarkets zipo ama hata AMAZON....
 
Hata kifo cha Magufuli mlisema umbea,wengine tena wenye vyeo vikubwa wakasema yupo anapitia mafaili kumbe alishakufa kitambo.

Hata kauli ya spika jana sikuelewa vizuri nilijiuliza mara 2 spika anamkemea nani juu matumizi ya serikali sikuwahi kuona hii kauli miaka ya nyuma.
 
Movie za kikorea hizi

Jamung katokea hapa sio?
Muvi eeenh ...unafikiri wenzenu hawa tu nzi historia kama wadanganyika ... !!?? Anza tu na Korean War iliyofanya mipasuko wa North na south halafu endelea kusoma historia yao kwa kurudi nyuma kidogo kidogo ndio utajua ni movieeee au hali halisi , MPAKA utakuta Japan alivyoitwaa Korea na kuitawala ...rudi nyuma zaidi hivyo hivyo ndio utajua vizuri. Hata BALHAE kingdom wanahangaishana na Mongolians ni haohao tu ... Jichoshe kusomasoma vitu mbalimbali.
 
"hii nchi sio ya kuikatia tamaa, lolote linaweza kutokea...."
 
Ni kweli,lakini kwa yanayoendelea nchi hii,kujifanya huoni,ni Sawa na kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni,ukifikiri umejistili,
Kwa walioko Mwanza Raisi alipokuwa anakuja kufanya ziara ya tamasha la utamaduni,lazima aliona udhaifu wa maandalizi,kwa maandalizi Yale utafikili anayekuja ni Waziri Mwigulu kuhutubia,mji ulikuwa hauna hamsha hamsha hata za ccm,bendera za ccm zilikuwa kwenye ofisi zao tu,yalikuwa ni maandalizi kwa ajiri ya low level government official,sio Raisi.
Mama anadharaulika,anacho jua ni kurembua macho tu.
Kukataa kwamba hii taarifa sio ya kweli,hakuifanyi isiwe kweli,
Mama huyu majukumu ya Uraisi hayawezi,hata umakamu wa Raisi,uliwahi kumshinda akataka kumwaga manyanga.
 
🤣🤣
Mkuu wangu kwa hiyo mh.Tundu Lissu alisema ukweli juu ya KIFO cha yule mlinzi mweusi ?!!!khaaa 😲😲😲

🤣🤣
Kwa hiyo SSH na hata Majaliwa walisema kweli kuhusu rais kuwa alikuwa akipimwa vi mafua mafua tu, au kuwa alikuwa na busy na mafaili hivyo asingeweza kuonekana onekana magomeni au kariakoo?

Tangu lini kosa moja likafukuzisha mke Jumbe Brown? Khaaaaaa!😲😲😲
 
Hamkani si shwari tena , Lumumba hakukaliki kutwa kucha wapo jukwaani kuzima moto uliowashwa na lisu ,,, na wakiwaza kwamba jamaa huwa habahatishi kwenye taarifa zake..tusubili
 
Mnahangaika na akina Lisu wakati siku nyingi hawaja trend sasa lazima watafute taarifa za uongo Ili kuwatoa watu kwenye reli nao wapate kiki.

Lisu ana miezi kadhaa hajatrend unategemea nini?
 
Hoja sizipewe tu ufafanuzi,ili kama zipo taarifa zisizokuwa sahihi ,zipate kuisha.
 
Jiwe limekupata ukiwa gizani haya mleta mada anza wewe kwenda mahakamani kufungua kesi,aliposema raisi magufuli yuko hoi hospitali kisha taarifa za kifo mlisema hivyo hivyo mtamshitaki mbona hamjaenda bomu jingine hilo kawaletea tafuteni mlango wa mahakama acheni upoyoyo taarifa mnampa wenyewe.
 
Mi nakushangaa sana wewe unayemshangaa Lisu. Hata Lisu aliposema Magufuli amekufa ulimshangaa. Ndiyo maana nakushangaa kushangaa kauli ya sasa ya Lisu
 
Mkuu,huoni unamweka pabaya Mwenyekiti Mh. Mbowe? Kwenye kesi yake ya kupanga..... viongozi wa kitaifa. Endelea kufunguka inawezekana Kuna jambo
 
Lissu aliibua mjadala kuhusu mdororo wa kiafya wa Jiwe uliopelekea kutoonekana kwa majuma mawili.

Akaibuka Kassim kukanusha na kusema Jiwe ni buheri wa afya ila ajabu siku chache Samia akasema yuko checkup na ndio baadaye ikatangazwa alilazwa wiki moja kabla na amefariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…