Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Hilo lipo wazi
Mama alianza vema akasema ataongea na vyama vya upinzani hadi leo.
Mwenye roho mbaya ni Waziri mkuu ndo wanayemuona meko aliyebaki
Majariwa ni hovyo muongo mnafiki amemdhibiti Samia kwa kutumia mfumo Dume
Majaliwa kamteka Siro,kamteka Diwani Athumani ili wamuogopeshe Samia
Na Samia ana hulka ya woga na uvivu
 
Mkuu unaipigia wapi hii kitu??

Right after my shift ends I would like to join for a cup or two.

Hii hapa coffee house huku stone town karibu na mchamba wima pale nshaizoea sana
Mkuu wangu pamoja na kunywa katika "coffee houses" ila ukiwa na "MOKA POTS" ama ESPRESSO light machine unajitengenezea mwenyewe na hakika "unainjoi sana"....sisi wengine huo ndio "ulevi wetu" 🤣

Supermarkets zipo ama hata AMAZON....
 
Hata kifo cha Magufuli mlisema umbea,wengine tena wenye vyeo vikubwa wakasema yupo anapitia mafaili kumbe alishakufa kitambo.

Mambo huanza hivi hivi.
Zinaanza kama tetesi lakini mwisho wa siku zinakuwa kweli kwa 100%, kama kifo cha Magu kilivyokuwa....

Kwa jinsi nchi inavyopelekwa kipuuzi fulani hivi na namna mama alivyogeuka ghafla ndani ya muda mfupi sana, bila shaka hana control na kiti chake tena. Lazima kuna kakikundi kamepora madaraka yake.

Tujipe muda.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hata kauli ya spika jana sikuelewa vizuri nilijiuliza mara 2 spika anamkemea nani juu matumizi ya serikali sikuwahi kuona hii kauli miaka ya nyuma.
 
Movie za kikorea hizi

Jamung katokea hapa sio?
Muvi eeenh ...unafikiri wenzenu hawa tu nzi historia kama wadanganyika ... !!?? Anza tu na Korean War iliyofanya mipasuko wa North na south halafu endelea kusoma historia yao kwa kurudi nyuma kidogo kidogo ndio utajua ni movieeee au hali halisi , MPAKA utakuta Japan alivyoitwaa Korea na kuitawala ...rudi nyuma zaidi hivyo hivyo ndio utajua vizuri. Hata BALHAE kingdom wanahangaishana na Mongolians ni haohao tu ... Jichoshe kusomasoma vitu mbalimbali.
 
Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.

Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.

Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.

Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.

Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.

Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
Ni kweli,lakini kwa yanayoendelea nchi hii,kujifanya huoni,ni Sawa na kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni,ukifikiri umejistili,
Kwa walioko Mwanza Raisi alipokuwa anakuja kufanya ziara ya tamasha la utamaduni,lazima aliona udhaifu wa maandalizi,kwa maandalizi Yale utafikili anayekuja ni Waziri Mwigulu kuhutubia,mji ulikuwa hauna hamsha hamsha hata za ccm,bendera za ccm zilikuwa kwenye ofisi zao tu,yalikuwa ni maandalizi kwa ajiri ya low level government official,sio Raisi.
Mama anadharaulika,anacho jua ni kurembua macho tu.
Kukataa kwamba hii taarifa sio ya kweli,hakuifanyi isiwe kweli,
Mama huyu majukumu ya Uraisi hayawezi,hata umakamu wa Raisi,uliwahi kumshinda akataka kumwaga manyanga.
 
🤣🤣
Mkuu wangu kwa hiyo mh.Tundu Lissu alisema ukweli juu ya KIFO cha yule mlinzi mweusi ?!!!khaaa 😲😲😲

🤣🤣
Kwa hiyo SSH na hata Majaliwa walisema kweli kuhusu rais kuwa alikuwa akipimwa vi mafua mafua tu, au kuwa alikuwa na busy na mafaili hivyo asingeweza kuonekana onekana magomeni au kariakoo?

Tangu lini kosa moja likafukuzisha mke Jumbe Brown? Khaaaaaa!😲😲😲
 
Hamkani si shwari tena , Lumumba hakukaliki kutwa kucha wapo jukwaani kuzima moto uliowashwa na lisu ,,, na wakiwaza kwamba jamaa huwa habahatishi kwenye taarifa zake..tusubili
 
Nimeshangazwa na logic ya kitoto ya ndugu lissu eti Rais yupo under hostage taking situation halafu akatoa mifano yake ya uongo.

Kwa ufupi niseme hata Yeye Tundu Lissu angefanikiwa kuwa Rais tungemuhesabu kuwa ni mateka wa mfumo wa ulinzi na usalama kwani hakuna ambalo angeweza kulifanya kinyume na maelekezo ya mfumo huo.
Huu ni mfumo wa kidunia na haujaanza leo na utaendelea.
Mnahangaika na akina Lisu wakati siku nyingi hawaja trend sasa lazima watafute taarifa za uongo Ili kuwatoa watu kwenye reli nao wapate kiki.

Lisu ana miezi kadhaa hajatrend unategemea nini?
 
Hoja sizipewe tu ufafanuzi,ili kama zipo taarifa zisizokuwa sahihi ,zipate kuisha.
 
Jiwe limekupata ukiwa gizani haya mleta mada anza wewe kwenda mahakamani kufungua kesi,aliposema raisi magufuli yuko hoi hospitali kisha taarifa za kifo mlisema hivyo hivyo mtamshitaki mbona hamjaenda bomu jingine hilo kawaletea tafuteni mlango wa mahakama acheni upoyoyo taarifa mnampa wenyewe.
 
Nimeshangazwa na logic ya kitoto ya ndugu lissu eti Rais yupo under hostage taking situation halafu akatoa mifano yake ya uongo.

Kwa ufupi niseme hata Yeye Tundu Lissu angefanikiwa kuwa Rais tungemuhesabu kuwa ni mateka wa mfumo wa ulinzi na usalama kwani hakuna ambalo angeweza kulifanya kinyume na maelekezo ya mfumo huo.
Huu ni mfumo wa kidunia na haujaanza leo na utaendelea.
Mi nakushangaa sana wewe unayemshangaa Lisu. Hata Lisu aliposema Magufuli amekufa ulimshangaa. Ndiyo maana nakushangaa kushangaa kauli ya sasa ya Lisu
 
Magufuli alimfungulia mashtaka, akampiga risasi kwa kusudi la kumwua, akavuruga Uchaguzi na kujipa kura ambazo hakupigiwa...and what happened in the end? Magufuli amekufa na Lissu anaishi...

Sasa chukua neno langu, Hangaya na yule Ibili wa Jeshi la Polisi watakufa kabla ya 2025 na Lissu na wapenda haki wote wataendelea kuishi na kumtukuza Mungu kwa mambo makuu anayotundea..

Take my world, mtazika mwingine kabla ya 2025; the bad thing you won't learn
Mkuu,huoni unamweka pabaya Mwenyekiti Mh. Mbowe? Kwenye kesi yake ya kupanga..... viongozi wa kitaifa. Endelea kufunguka inawezekana Kuna jambo
 
Lissu aliibua mjadala kuhusu mdororo wa kiafya wa Jiwe uliopelekea kutoonekana kwa majuma mawili.

Akaibuka Kassim kukanusha na kusema Jiwe ni buheri wa afya ila ajabu siku chache Samia akasema yuko checkup na ndio baadaye ikatangazwa alilazwa wiki moja kabla na amefariki
 
Back
Top Bottom