Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Ulivyo mjibu ni kama wewe ndio Samia mwenyewe vile..
 
Hii story asilimia kubwa ina ukweli, mambo anayofanya Samia currently at the middle of kesi za ajabu za kina Mbowe yana prove point. Huu ukandamizaji wapinzani kwa kesi za kubambika sio hulka ya Samia ile, kuna watu nyuma yake.
Kinachowatesa chadema sasa hivi ni kwamba walimsifia sana mama mwanzoni pale.

Awali mlisema anaongozwa na team jk, baada ya kuona amewawashia moto na wakati mlimsifia sana ndio mnaanza kusema ametekwa!
 
Braza Lissu kaniangusha kwa hili. Nilimuomba asubiri kidogo tu wikendi ipite awahabarisge umma. Ila nimemuelewa ni mihemko tu ya Uzalendo. Kuna very sensitive issue nataka nimsogezee huyu mzalendo kutoka jikoni. Kuna classified documents nilizifumania jikoni yani zikimfikia Lissu taifa litasimama. Nimeshawaandaa vijana wangu Rama na Frenki kufanikisha kila kitu
 
Sijawahi kumpuuza Tundu, aliwahi kutuambia jamaa haonekani kanisani wala ikulu watu wakabisha na kutoa mapovu lakini baadae wakaona aibu wenyewe!

Kwahyo hata kwenye hili anaweza asiwe sahihi 100% lakini kwa kiasi fulani kuna harufu ya ukweli!!!
Na hilo ndio lina mfanya Lisu aendelee kuteka akili za wajinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mitandao jamani
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca
Mbona mnazidi kutuchanganya asee. Si muweke kikao mje na kauli moja wandugu

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
CCM inafanya vikao lakini wengine hawaruhusiwi kufanya vikao hiyo wewe unaona ni sahihi ?
 
Udaku!!

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Leo wabunge walimshangilia sana Kassimu Majaliwa bungeni tunaodadisi kila kitu hali ile haikuwa ya kawaida.

Shift of loyalty
 
Kabisa nimeungana na wewe kwa maono yako hii ni kweli hakupaswa kusema hiz mambo!!

LISSU ni mtu mkubwa sana hapaswi kubase kwa taarifa ambazo zinaonotezwa Mtandaoni na alichosema siyo sahihi
 
Kwa hiyo Mchengelwa na Majaliwa' ndio wanaongoza nchi? Ni upuuzi.
 
Of course itatawala milele, out of prescription.
 
Kwani ameanza lini matumizi ya bangi huyu Mbelgiji? [emoji1787]
 
Siwezi amini hili. Maana ingelikuwa ni kweli tungeona huyo PM anatoka kwa jamii muda mara kadhaa na kutoa maelekezo yenye kuonesha mamlaka hayo. Lakini badala yake, ktk kipindi ambacho Pm na Vice wamekuwa kimnya sn ni hiki. Kila mtu anafanya shughuli zake kama vile hakuna mtu kabisa.
 
Hujaelewa wewe na Lissu huyu anashauriwa na kikuboy...

Kwasasa anajenga jina na umaarufu ndomana anashiriki masherehe,anapunguza matozo,ataongeza mishahara,atatoa ajira nk. kusudi apendwe nawatu kufikia 2025 apite kirahisi.

Baadae miaka mitano yamwisho ndiyo ya kujengajenga kuacha legacy maana hugombei tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…