Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Binadamu wengi wana aina ya wehu
Bora yangu naongea peke yangu kimya kimya
Wengine wanapiga kelele na wanataka wehu wao usikike
 
Nyumbu wanashabikia Kila linalosemwa na kiongozi wa msafara ndo maana huingizwa mtoni na kuliwa na mamba.
 
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi Mtihani/Majaribu anayopitia Mboe !
 
Reactions: BAK
Kwa hiyo kumbe alistahili kuuliwa?

Kwamba alikuwa anakejeli hatua za kupambana na ubeberu? Kumbe hafai
 
Your browser is not able to display this video.

Mswahili hawezi kuendesha nchi maana hana lugha ya moja kwa moja tofauti ni kubwa mno toka kwa Jpm kwenda kwa mama samia,Tulizoea kufanya kazi kwa lugha moja iwe nzuri au mbaya msimamo ulikuwepo ila kwa sasa kauli zina mashaka haziko wazi
 
Rais mmoja tu ndo aliongoza nchi mwenyewe na ni John Pombe Joseph Magufuli, ila Samia ninahakika kuna stering anaemuongoza, JK ndo kabisa alikuwa na megegnge ya wafanyabiashara na mafisadi ao ndo waliongoza nchi. Mkapa kurudi huko nyuma sijui maana nikikuwa bado young boy sijui chochote
 
Hawa jamaa wakipewa uongozi wa nchi tutakoma ukianzia wanavyoendesha chama Chao wafuasi wao asilimia kubwa ni chuki na uzandiki.
Ingawa Sina chakupoteza lakini sumu haionjwi vinginevyo tungewajaribisha kuwapa uongozi
 
Kwahiyo unakubali kwamba alikuwa anakwambisha jitihada za serikali kulinda rasilimali madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…