Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Na
Kinachowatesa chadema sasa hivi ni kwamba walimsifia sana mama mwanzoni pale.

Awali mlisema anaongozwa na team jk, baada ya kuona amewawashia moto na wakati mlimsifia sana ndio mnaanza kusema ametekwa!
Wana hasira sana na mama, hakuna kitu wataacha kuzusha. Hata kama sijui Majaliwa, sijui TISS, then so what? Majaliwa ni waziri mkuu, right hand man wa mkuu wa nchi. Mambo yote ya kiserikali anayotaka Rais yafanyike yatafanyika kupitia Majaliwa. Kikatiba. TISS ni intelligence gathering institution ya nchi. Hakuna kitu Rais wa nchi atafanya bila kupewa go ahead au kushauriwa na watu wa TISS.

Sasa kuna kipya gani hapo cha kustua kwenye porojo za Lissu?
 
Kwani huyu majaliwa si mlisema ni sukuma gang na mlisema mama anawakoemsha?
Kalete statement yangu popote nilipoandika neno 'Sukuma gang'na mama anaupiga mwingi" short of that utakuwa umekosa uteuzi tu unamaliza stress zako JF
 
Rwehumbiza ni nani!?
 
Kalete statement yangu popote nilipoandika neno 'Sukuma gang'na mama anaupiga mwingi" short of that utakuwa umekosa uteuzi tu unamaliza stress zako JF
Kila mtu humu jf anatafuta uteuzi?

Bavicha wenzio walikuwa wanachekelea kila siku humu kwamba mama anaupiga mwingi. Anawakomesha mataga na sukuma gang.

Leo hii wanalia kwamba sukuma gang ndio wanaongoza nchi?
 
Kila mtu humu jf anatafuta uteuzi?

Bavicha wenzio walikuwa wanachekelea kila siku humu kwamba mama anaupiga mwingi. Anawakomesha mataga na sukuma gang.

Leo hii wanalia kwamba sukuma gang ndio wanaongoza nchi?
Nenda kawajibu hao siyo mimi
 

"She is held hostage. Wanaoendesha nchi ni wasiojulikana na front man ni Kassim Majaliwa. Ameshauriwa akae pembeni wao watatushughulikia."

It makes lots of sense.
 
Kuwa “held hostage” sio lazima uwe umepigwa pingu under lock & key. Unaweza kuwa unazunguka huko na huko controlled by remote control.

Yaani unapangiwa tu nini useme/usiseme, nini ufanye/usifanye na wapi uende/usiende etc na kundi la watu flani ambao huna cha kuwafanya kwa kuwa most likely wana kitu flani against you (sort of blackmailing).

Ndicho Hangaya anacho experience kwa sasa.
 
Inaonekana mmeumia sana baada ya ukweli huu kuwekwa hadharani na Lissu.

Siku 100 alijaribu...ila baada ya speech yake tu ... wenye nchi yao wameichukua kabakia cerebrete president, kupiga picha na twiga wakati our national is in crisis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…