Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Wewe ni ndondocha kweli kweli wewe. Matishio ya kijinga namna hiyo yalishapitwa na wakati!
 
Kwa hiyo kumbe alistahili kuuliwa?

Kwamba alikuwa anakejeli hatua za kupambana na ubeberu? Kumbe hafai

Umesema hana maana, na ni “debe tupu.”

Tundu Lissu aliwauliza watu wake ndani ya utawala, nampataje Rais?

Wakampa namba, akapiga, ikapokelewa, akaambiwa nyakati hizi Rais anapokea madaraka, tutakutafuta mkuu.

Katibu wa Rais Suluhu akarudisha simu Ujerumani, Rais pembeni ya simu, wanamtafuta Tundu Lissu. Huyo unamwitaje debe tupu ?

Mpinzani Kambona akiwa Uingereza miaka 30 hakuwahi kupigiwa simu na Nyerere. He couldn’t shake up Nyerere’s regime.

When Tundu Lissu speaks the Tanzanian regime pays attention.
 
Natamani wangeelewa unachozungumza
 
Mbona hili lilikuwepo hadharani kabla ya Lissu kutia neno? Hanga ya KUDEMKA 😂😂
 
Unaongelea huyu chizi na muongo wa kutupwa! Hakuna haja ya kupoteza muda na machizi na wachumia tumbo kama huyu na yule aliyeko Kanada aka Godcurse Mremavu
 
CCM ya leo siyo ile aliyoiasisi Nyerere
 
Hizi stori zako zipeleke pale ufipa ila huyo mtu wenu ni debe tupu!

Hana ishu
 
Madaraka ni matamu sana. Mtu ukionja uwaziri utatamani sana upate uwaziri mkuu, ukiupata utatamani upate uraisi. Hizi ni preparation za kujenga cv ya kugombea uraisi. Toka nisome kitabu cha mkapa kwa kweli wazaramo na watu wa kusini uraisi hawatufai kabisa.

Masuala ya usalama yote yako chini ya Waziri mkuu, yeye ndio bosi wa Tiss kiutendaji na ndio maana Mawaziri wakuu wote walikuwa watu wa Tiss. Waweza kukumbuka ukaribu wa Mzee Lowasa na Marehemu Mwang'onda mpaka chadema.

It makes a lot of sense haya anayoyasema Lissu na potrayed blurr image anayoibuka nayo namba moja. Leo tozo zimekubalika, kesho Royal Tour, mara Mbowe alikimbia Nairobi, mara chanjo, mara ndege, mara yatima hadeki walimu siwezi kuongeza mshahara, sinema hazifikii katikati director anarukia scene ingine. Tukumbuke usemi wa hayati Nyerere aliposema Upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm. Kazi iendelee lakini hali ya gharama za vitu mtaani inazidi kupanda.
 
Asante nitafuatila,
Fanya hivyo ... Utaijua vizuri zaidi .. North and south korea(ancient Korea=koryo/Goryeo).
Very interesting. Nimeipenda hii...

Ukipata wasaa wa kutosha, tueleze hili kwa mapana yake na uhusiano wake na hali ya nchi yetu sasa ktk uzi maalumu kabisa..
Walikuwa wanawekwa ..wasimamizi kwa niaba ya watawala ..na mlolongo ukienda hivyo ..sio storry teller mzuri ... Nitajaribu enteresting sana hawa majamaa ....
 
SSH lazima awe mwoga kwa sababu anakijua fika kilichomsibu Mwendachato. Wenye akili na weledi wa kutosha na wanaoijua NJI hii itokako na iendako hawashangai wala hawadanganyiki asilan! Ni swala la muda tu! Wanaojifanya wajanja watajua kwamba hawajui kitu! If you can't CHANGE, CHANGE itself will CHANGE YOU! Hiyo ni kanuni ya maumbile sio yangu mimi kapurwa!
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca

We bado ni mtoto sana!! Kati ktk tawala za kiraia hilo haliwezi tokea na ndo maana ktk katiba na utendaji kwa ujumla rank ya jeshi iko mbali sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…