chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara.
Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu.
Nawaza hawa walioajiriwa pamoja na wauza ukwaju, vingamuzi, walioajiriwa viwandani wote watakosa kazi, familia zao zitaishije?
Lissu pia atasababisha maelfu ya ndoa zivurugike kwa kuwa wenza wa baadhi atawafukuza