Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

CCM kumejaa matapeli tupu
 
Mtetee basi na uvamizi wa Clouds Media akiwa na silaha za kivita na jeshi la Ikulu
 

Utakuwa na tatizo, labda hujitambui.

Dunia mpaka leo inamzungumzia Hitler, na hufanya kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya Dunia, kila mwaka.

Matukio mabaya sana hufanyiwa kumbukumbu ili kuweka tahadhari yasijirudie.
 
Wahi matibabu.

Hata kama tuhuma zako dhidi ya GSM zingekuwa za kweli, hivi unasambaratisha uovu kwa kufanya uovu? Hizo ni akili au matope?

Makonda ni muuaji, Makonda ni jambazi.
 
Aisee
 
Lissu na utu uzima wake bado anamwogopa sana Dogo Makonda. Nilitegemea Lissu atuambie sera za CDM na, pia CDM itaondoa VIP kukatika kwa umeme, matatizo ya sukari. Lakin sera, ya Lissu ni Makonda. Kutembea kote huko barabarani unaenda kumwongelea Dogo Makonda?? This is nonsense. We have a long way to go.
 
Asimwogope we unadhani Uhai unanunuliwa Kiwandani?
 
Jambazi makonda AKA bashite haliogopeki na LISU pekee linaogopeka hata na wewe
 
Jambazi makonda AKA bashite haliogopeki na LISU pekee linaogopeka hata na wewe
Lissu toka, atwange risasi amekuwa poyoyo tu. Yaan dogo kama Makonda nae, anawanyima usingiz? I remembered in the election of Tanzania in 1995 Mrema didn't discuss his party policy, instead he talked irrelevant issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…