Pre GE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu ni mwanaharakati Hata yeye anasema hivyo , kuongoza kwa maana ya mtoa maamuzi ( decision maker ) hawezi , zaidi zaidi ni mtendaji .
 
Usishangae, ni mtu ambaye japo sina affiliation na chama chochote cha siasa nilikuwa namkubali sana lakini 'kukosa kifua' kama mwanaume anavyopaswa kumesababisha nianze kuwa na wasiwasi nae upande wa leadership capabilities/capacities. Ni bingwa sana linapokuja suala la sheria na mambo yote yanayohusu mikataba lakini busara za kiuongozi na uwezo wa kuifanya institution kubwa kama CHADEMA kuwa kitu kimoja sioni kama uwezo huo licha ya kwamba kiukweli chama chao kinahitaji mtu mwenye charisma kama yake kwa sasa, a populist and vibrant kind of a person. A pushy motherfvcker yeah kwani huu mfumo unaotawala bila ya kutikiswa hakuna kitakachobadilika.
 
Huyu Mbowe anatuona wajinga sana, kila siku mbinu zake ni hizo hizo tu. Sasa tumetambua rasmi kwamba anafanya kazi chafu ya CCM, muda si mrefu atabakia na chawa wake kwenye SACCOS yao na kuungana na VIBARAKA wenzake akina Lipumba, Cheyo n.k
Na nyie wapayukaji mtaenda wapi? Si Bora abakie peke yake kwani mna Msaada gani Sasa kwake? Yeye ni tajiri na yeye ndio kaifikisha hapo Chadema
 

Sipo kubadilisha chochote
 

Kifua cha kuficha maovu
 
Kila uchaguzi tumeibiwa kura zetu!;
As Mwenyekiti na ww umeshindwa kuiba?
Au kubuni New Option!
Kuna kipindi CCM walikuwa wanapiga debe aachie Uenyekiti!; Lakini Kwa Sasa baada ya kumuona ni chui wa karatasi, wanapiga debe aendelee na Uenyekiti😇🙄
 

🤓🤓🤓
 
Yatatokea hayo ikiwa tu DEMOKRASIA itatendeka kweli, nje na hapo kuna samaki wengi Sana mwenyechair alishajiopolea anasubiri kuwanywa supu tu
 
Ndoto za mchana!
 
We mgeni na siasa za bongo. Anaanzia wapi kushinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…