Pesa za jeshi haziendi majimboni zinatoka serikali kuu kwenda jeshini moja kwa moja Jeshi ni jukumu la serikali kuu sio Jimbo gharama zinaebwa na serikali kuu ya baada ya kupokea michango ya majimbo ya gharama za uendeshaji serikali kuu
SERIKALI YA MAJIMBOLisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo...
Kwani sasa hivi Magufuli anapata wapi hela ya kujenga Airport kijijini? Wakati tunajua makusanyo ya kodi kwa mwaka wilaya ya Chato hayatoshi kujenga hata km 10 za lami standard?Lisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo...
unafananisha Tanga na Rwanda au na kigali? kwa Rwanda palipoendelea ni kigali tu na ni mji mkuu wa nchi utaufananishaje na Tanga mji wa kawaida tu?SERIKALI YA MAJIMBO
Wakati naandaa somo kuhusu umuhimu wa serikali za majimbo kiuchumi; tuanze kutafakari jambo hili;
Nchi ya Rwanda ina ardhi yenye ukubwa karibu sawa na mkoa wa Tanga. Rwanda ina kilometa za mraba 26,338 wakati Tanga ina 26,677 (Tanga ni kubwa kidogo)...
sio kweliKwani sasa hivi Magufuli anapata wapi hela ya kujenga Airport kijijini? Wakati tunajua makusanyo ya kodi kwa mwaka wilaya ya Chato hayatoshi kujenga hata km 10 za lami standard?
Anakwapua Mtwara kwenye gas na korosho, Dar kwenye bandari, Kagera kwenye kahawa na kwenda kupendezesha kwao Chato. Tunataka kukataa huu unyonyaji wa kikoloni. Kila mtu apambane na hali yake. Hakuna jimbo wala mkoa masikini Tanzania
Unajua Wilaya ya Chato inakusanya TZS za kodi kiasi gani kwa mwaka? Usijitoe ufahamusio kweli
Kwenye mapato ya dhahabu ya migodi iliyoko kwenye mkoa wake wa Geita inayoingiza mabilioni ya pesa za kigeni
Tunaongelea mkoa wa Geita ambapo chato ipo ni mkoa unaoongoza kuingiza pesa za kigeni kwa mauzo ya dhahabu hizo korosho na gesi hazioni ndani .Waweza jenga viwanja vya ndege hata 20 zaidi ya chato mkoani kwao wakitaka pesa ipoUnajua Wilaya ya Chato inakusanya TZS za kodi kiasi gani kwa mwaka? Usijitoe ufahamu
Usiwe kiazi kwani majimbo yapo marekani tuu? Mbona takribani kila nchi Afrika inatumia mfumo huu? Huu ujinga ambao umekuwepo wa kutukuza mtu eti rais ametuletea bilion hizi Mara zile ili kujinufaisha binafsi na kujipendelea hatuukubali tena.Unahalalisha wizi,matumizi mabaya ya madaraka na mtu mmja kuwa alpha na omega yaani atakachoota usiku ndio wote tufuate.Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.
Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu...
Hv ni kwamba haujui au unajitoa ufahamu? Geita haipo hata katika top 10 ya mikoa yemye makusanyo makubwa ya kodi nchini. Geita ingekuwa hivyo unavyosema isingekuwa moja ya mikoa 4 masikini zaidi TanzaniaTunaongelea mkoa wa Geita ambapo chato ipo ni mkoa unaoongoza kuingiza pesa za kigeni kwa mauzo ya dhahabu hizo korosho na gesi hazioni ndani .Waweza jenga viwanja vya ndege hata 20 zaidi ya chato mkoani kwao wakitaka pesa ipo
Kinadharia sera ya majimbo ipo tofauti na utekelezaji wake. Inabidi huo ukweli uufahamu.Kwa iyo Nani kakwambia kurudisha majimbo ni kurudisha uchifu???? Hicho kichwa chako unafugia nywele tu???
Daaaah kweli dunia kuna vilaza 😂😂😀😂😀
Usiwe kiazi kwani majimbo yapo marekani tuu? Mbona takribani kila nchi Afrika inatumia mfumo huu? Huu ujinga ambao umekuwepo wa kutukuza mtu eti rais ametuletea bilion hizi Mara zile ili kujinufaisha binafsi na kujipendelea hatuukubali tena.Unahalalisha wizi,matumizi mabaya ya madaraka na mtu mmja kuwa alpha na omega yaani atakachoota usiku ndio wote tufuate...
Lissu ni chokoraa mkuu hapa nchiniLisu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani ya jimbo ikiwemo miradi ya maendeleo...
Kwani mfumo tulionao tumeiga wapi chief? Serikali kuu imehodhi mamlaka yote,mapato yote lazima yaende serikali kuu,walioko juu hawajui vipaumbele vya busokelo huko. Devolution ndiyo the way forward tukiachana na milengo yetu ya kisiasa.Suluhisho la hasira zako haliwezi kuwa sera ya majimbo ya kukopi na kupesti kutoka nchi nyingine.
Nchi huwa haifanyiwi majaribio kwa sera zisizokuwa na msingi wa asili, watu wataumia.
Wabunge na madiwani wanachaguliwa na wananchi kumbuka kuhusu hilo jambo.Amesema sio lazima yawe majimbo,inaweza kubaki hata mikoa au iite chochote unachotaka jambo la msingi ni kwamba viongozi wake lazima wachaguliwe na wananchi na wananchi waweze kuwawajijibisha.
Sera yenu msingi wake ni udikteta na kubinya uhuru wa kuchagua viongozi wananchi wanaowataka. Mnataka ma RC na maDC makada wa chama chenu ndiyo waongoze majimbo mikoa na wilaya. Wakati hawajachaguliwa hata kwa kura moja na wananchi na walio wengi ni walioshindwa ubunge.Sera ya majimbo msingi wake ni ubinafsi, ukabila na roho ya uchoyo.
Ni sera ambayo imechukuliwa kutoka nje pasipo kuangalia msingi wa utaifa wetu...
Usilazimishe Kutokuelewa Kwa Maksudi, unazidi kuudhihirisha ujuha wako.
Je, unayajua Majimbo yatakavyokua na mikoa itakayoyaunda hayo majimbo?...
Majimbo ndio yataharibu kabisa hiyo tabia.Watu sasa hawajitambulishi kwa mikoa wanayotoka?
Hizi hekaya zimeanza kusikika 1995 mpaka leo hazibadiliki tu? Hapa kuna kitu hakijakaa sawa.CCM ni jambo la muda tu mtakua historia Tanzania...