Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Unanitishia wewe ni nani?
Next time usi ni quote hutoona dustbin tena
NB : usinitishie tena πŸ“Œ
Nani kakwambia kua nakutisha?

Hua sitishi mtu bali namwambia ukweli,
Umeweka comment ukasema wabongo wote ni wapumbavu na ni wajinga, halafu unasema comnent yako hainihusu? Wewe kutukana jamii nzima umeona ni sawa sio?
 
Kwa akili yako ndogo unafikiri Tundu Lissu angekuwa shoga angeweza kufanya anayofanya!? YBWB!
 
Hizo dalili unazo wewe kwa kumchukia Dudubaya,hizo dalili unazo wewe za kuwachukia wanao msapoti Dudubaya,

Unataka watu wote tufuatilie unachokitaka wewe?

Wewe ungekua na akili timamu unge gawa kalio?
Umeanza kuwa na akili sasa Mimi nilijua wewe hujarogwa sasa hivi ndio walevi wengi wanavyokuwa akishakunywa pombe kwakuwa pombe inatoa effect katika CNS unadhani pombe zikiwa mtaani na hazina ubora si tutazalisha vichaa weng
 
Ushoga ni tatizo kwenye jamii yetu kama matatizo mengine, fikiria kaka yako ameolewa na mko kwenye kikao cha familia utamuitaje mume wa kaka yako shemeji au baba mdogo… YBWYB
Wewe kaka yako ameolewa lini harusi ilikua wapo, jinga sana
 
Umeanza kuwa na akili sasa Mimi nilijua wewe hujarogwa sasa hivi ndio walevi wengi wanavyokuwa akishakunywa pombe kwakuwa pombe inatoa effect katika CNS unadhani pombe zikiwa mtaani na hazina ubora si tutazalisha vichaa weng
Wewe ***** naona umeanza kuandika mavi mavi tu,hata hueleweki unachokiandika.
 
Sijawahi kumuona mtu kavaa tshirt imeandikwa FREE TUNDU LISSU.

Wote wako bize wanapambania mavi na mikundu.
Mkuu ukivaa Tshirt imeandikwa FREE TUNDU LISSU sidhani kama utamaliza wiki na ukiwa ndo mwenzangu na mimi chap wanakudaka na utapewa kesi ambayo hujawahi waza kuitenda.
 
Mkuu, hapo ndipo ninapotofautiana nawe kidogo. Huwezi kuhitimisha kwamba Watanzania ni β€œwajinga, wapumbavu na wafata mkumbo” kwa sababu tu leo wameipa attention Dudu Baya.

Kama tunataka kwenda mbele lazima tuangalie kwenye mzizi wa tatizo, tuangalie kwanza mfumo wa siasa wenyewe. Ajenda nyingi tunazoziona zikihama kutoka jambo moja kwenda jingine zinatengenezwa na wanasiasa wenyewe, ikiwemo Hawa wa chama cha CHADEMA

Mfano, utakuta leo Lissu na Heche wako frontline ya mapambano, kesho tunasikia mjadala ndani ya CHADEMA ambapo wanachama makada na viongozi baadhi ya chadema wakishutumu uongozi wao kuhusu maslahi au tuhuma mbalimbali Mfano pesa za tone tone , ambazo nataka nikukumbushe pia zilichangwa na sisi Watanganyika wajinga..Mara utasikia Lema ameibuka na kutoa kauli ya kudai "njia Bora ni maridhiano bila kujali maumivu tuliyoyapata ", mara kauli . Ujakaa vizuri hao hao viongozi wa chadema ghafla wanaamisha ajenda inahamia kwenye swali la β€œNchimbi yuko wapi?” Suala la kutokuonekana kwa Makamu wa Rais linageuzwa kuwa ajenda kubwa ya taifa na chadema wenyewe muda huo ccm wako kimya na wakati mwenyekiti wa chama chao ndugu LISSU yuko rumande akisubiri mchakato wake dhalimu wa kisheria.

Hata Lissu mwenyewe ameingia kwenye mjadala huo wa Nchimbi na kutoa kauli kuhusu hilo. Hivyo huwezi kuwalaumu wananchi kwa kubebwa na trend na wakati ndio umekua mfumo wa maisha wa taifa na hata wale wanao onekana kama wapigania Haki ndio wanaohamisha ajenda na attention za masuala mihumu. Huo ndio mfumo wa β€œsiasa za matukio” na ndio mfumo wa maisha ya Watanganyika.

Kwa sababu kama leo watu wanajadili Dudu Baya, kesho Nchimbi, kesho nyingine maridhiano, halafu baada ya siku chache ajenda nyingine inachukua nafasi, tatizo si kwamba wananchi wote ghafla wamepoteza uwezo wa kufikiri. Tatizo ni kwamba tumekuwa taifa linaloendeshwa na matukio, na hata wanasiasa wetu pendwa wenyewe wanashiriki katika kulijenga hilo.

Na kusema Lissu angepewa airtime kama Dudu Baya basi Tanzania ingepiga hatua pia ni assumption. Airtime peke yake haileti mabadiliko. Kinachohitajika ni ajenda yenye mwendelezo, mikakati, taasisi, utekelezaji na matokeo.

Zaidi ya hapo, tusisahau kwamba hawa hawa Watanzania unaowaita wajinga na wafata mkumbo ndio hao hao waliowahi kujitokeza kwenye matukio ya kisiasa yenye hatari kubwa kama lile la October 29, 2025 na kuweka usalama na maisha yao rehani. Wakati huo wengi wetu tulikua mafichoni .Hivyo si sahihi kupima akili au ujasiri wa jamii nzima kwa kile kinachotrend kwenye mitandao siku moja ni kuwakosea Wengi wenye ujasiri wa kulipambania taifa lakini wakikwamishwa na mfumo wa kisiasa nchini.

Dudu Baya kuwa trending leo ni tukio la muda mfupi. Kesho linaweza kusahaulika na trend nyingine ikachukua nafasi. Hiyo peke yake haiwezi kuwa kipimo cha akili za taifa.

Kwa hiyo mkuu, mimi sioni tatizo likiwa kwa Mtanzania anayefuatilia Dudu Baya. Naona Dudu Baya ni Muenselezo wa mfumo mpana zaidi ambao tayari tumeujenga kama jamii.

Tusihukumu watu kwa trend ya siku moja; tuangalie mfumo unaotengeneza hizo trend. Na hata wanaharakati na wanasiasa wa upinzani wanapaswa kujielimisha zaidi katika hili.
 
Na hata sio lazima tukubaliane mkuu
Amini unachoamini na mimi hivyo hivyo safii tu
 
Wewe ***** naona umeanza kuandika mavi mavi tu,hata hueleweki unachokiandika.
Kitendo cha kushindwa kunielewa hiyo ni dalili kubwa ya schizophrenia kinaitwa flight of ideas yaan Mimi tupo na mjadala wee unasema huelewi sasa hujaelewa nini wakati mie nakuelewa Mimi naongelea psychotic disorder unaona unavyoyumba πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini kuna kanuni inayolazimisha watu wote kukemea masuala fulani na kutokemea mengine?
Au kwa mfano Dudubaya akikemea mashoga, wewe ukakemea ubakaji, ulawiti na utekaji kuna ubaya?
Nataka yeye akemee yote, km ameamua kuwa mkemeaji.
 
Yaan ushoga unahitaji attention kwenye jamii? Seriously?
 
Wabunge ni wanafiki wengi ni waabudu miungu wanaogopa kuliwa vichwa
 
Sahihi mkuu Mimi kama dr manyau nyau nipo na Dudu baya


Dudu baya yupo anafanya movement really wakati huo huo wanasiasa wanafanya fake movement

Watanzania watu mnaamini ni wajinga hapana they know who is really and who is fake
Uongo! Kwahiyo lissu ni fake kuliko dudubaya? Wee kweli Dr manyau nyau.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe kichaa nani akuelewe muda wote unajiharishia tu,

Ungekua na uelewa ungewarespect wanaomsapoti Dudubaya,ungekua na uelewa usinge kua mjinga wa kutaka kuwapangia watu wafuatilie nini au wasifuatilie nini,
Nani amekupa mamlaka ya kuwapangia watu maisha?

Naona umeanza kujitongozesha kwa kuniwekea vi emoji vya kunichekea,kaa mbali na mimi,sina time na nyie mapapai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…