Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
nili plan baada ya magufuli tu sitapiga tena kura ila kama antipas ataingia mzgoni nahc mapema sana ntakuwa hapo !!
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Siyo Vijaya tuu hata Mimi Mzee nitapiga Kura, maana nilishaacha muda mrefu kwa sababu za ubabaishaji
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Viongozi wakuu wa CDM wenyewe wanachambana kwenye vyombo hovyo hovyo kama MALAYA huo Uchaguzi wataenda kusema nini ?
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Hivi mnafikiri vyama vilivyofanikiwa kuingia madarakani viliingia kwa vibes na kuropoka ?
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Hilo ndilo jambo CCM hawataki kulisikia na wanamfanyia figusu huyu mtu. Mungu Amfanyie wepesi kwa kweli, ashinde na awe kiongozi wa haki na kuwapa Watanzania furaha waliyoikosa miaka mingi sana.
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Hao Vijana wapumbavu wakaimize wenzao wa Msumbiji kilichowakuta.

Wameuwawa Frelimo imepita na mgombea wao kibaraka ambae wakati wanauwawa alikuwa Nje amerudi na ataingia kwenye maridhiano

Sasa kazi ni kwao baada ya matokeo ya 2025 maana Lisu hawezi kuwa Rais iwe jua au mvua wamachague au wasimchague.
 
Back
Top Bottom