Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Ndo tulichokuwa tunasubiri wasichokipenda ccm ndio tumaini letu! Wajipange sasa tunarudi kwenye chama kuunga mkono juhudi
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Wakati analivyogombea urais hao vijana walikuwa wapi😂
 
Back
Top Bottom