Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
You are right bahati mbaya 2025 Chadema hatupeleki vijana kuuliwa sababu ya uchaguzi.Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Life ni bora kuliko.Uchaguzi