Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

Pre GE2025 Lissu atafanya vijana wengi wakapige Kura Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Natamani niwakusanye vijana wotee Tz,hasa wanaotesekaa kukosaa Ajira kwa jeuri tu ya serikali wampigie Lisu kura 2025 chaguo la Mungu.

Imagine Kuna uhabaa wa waalimu,msingi unakuta walimu 5 shule inawatoto 600,halafu kazi kununua mapikipiki na mabus ya Chama,vijana walosoma wapo wanazururaaa.Nchi kama imekatwa kichwaa! Vijana wote wakosa Ajira vote for Lisu2025.
 
Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.

Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Sio vijana tu bali Watanzania kwa ujumla waliochoshwa na uporaji wa rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom