Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Dozi dhidi ya mbogambogaUmezingatia kigezo gani mkuu
nili plan baada ya magufuli tu sitapiga tena kura ila kama antipas ataingia mzgoni nahc mapema sana ntakuwa hapo !!Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Siyo Vijaya tuu hata Mimi Mzee nitapiga Kura, maana nilishaacha muda mrefu kwa sababu za ubabaishajiKuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Viongozi wakuu wa CDM wenyewe wanachambana kwenye vyombo hovyo hovyo kama MALAYA huo Uchaguzi wataenda kusema nini ?Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Hivi mnafikiri vyama vilivyofanikiwa kuingia madarakani viliingia kwa vibes na kuropoka ?Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
HuendaKuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Cdm sio kama makondoo wa ccm.Viongozi wakuu wa CDM wenyewe wanachambana kwenye vyombo hovyo hovyo kama MALAYA huo Uchaguzi wataenda kusema nini ?
Hilo ndilo jambo CCM hawataki kulisikia na wanamfanyia figusu huyu mtu. Mungu Amfanyie wepesi kwa kweli, ashinde na awe kiongozi wa haki na kuwapa Watanzania furaha waliyoikosa miaka mingi sana.Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo
Hao Vijana wapumbavu wakaimize wenzao wa Msumbiji kilichowakuta.Kuchaguliwa Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA kutaamsha Ari ya vijana wengi kwenda kupiga Kura uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Tofauti na 2020.
Spana dhidi ya Mbogamboga zitazidi kupitia Mwenyekiti Lissu bila kupepesa mdomo