Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Aombe msamaha kwa kosa gani. Yeye anataka kesi iendelee ili mdhibitishe kosa lake. Na sio kukaa kimya wakati ameshawashinda keenye kesi. Wajinga ndio huwa wanaomba msamaha kwa kuonewa.

Halafu kuna watu wanashangaa kwanini wawekezaji hawataki kutumia mahakama za humu ndani kwa mashauri yao. Kama mahakama zinatumika kupindisha sheria tutaweza kutegemea kila mtu aziamini na kutumia mahakama zetu. Kwa Afrika Mashariki ni Kenya tu wangalau unaweza kupata mahakama zinazojua wajibu wake.
 
Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
ushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,

ila kwa nature ya kosa lake,
msamaha wa eti kwenye miaka ya 2031 sidhani kama utatolewa,
huenda msamaha wa bada la ya hukumu ya kurestishwa in peace, akapunguziwa na kua life sentence.
 
Siku moja ma wewe utakwenda gerezani, and you will get hurt the same way
 
Akili za CCM ndiyo zimegotea hapa.
 
Wewe ni mkongwe JF lkn akili zako za kushikiwa huna tofauti na chama chako.
 
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Uhaini hakuna miaka kadhaa, ni death penalty

So anyongwe au aachiwe huru kwenu CCM
 
Yaani watu wamemuweka mtu gerezani mwaka unaenda kutimia kwa tuhuma za uhaini halafu ushahidi ni video ya YouTube na mabodaboda na walima mboga za majani.

Kesi imeshapoteza uelekeo jamhuri wanatapatapa wamekimbilia mahakama ya rufani lengo kuu ni kuchelewesha hadi tarehe mwezi wa 4 lile genge la Chande litakapokabidhi ripoti uchwara ya tume uchwara kwa muuaji ambayo wameshapanga hila chafu dhidi ya CHADEMA.

Mimi kama mtu niliyewahi kuishi katika maeneo tofauti ambapo nilishuhudia uvunjifu wa haki uliokithiri ninaelewa matokeo ya watu waliochoka kutafuta haki katika njia rasmi basi wataitafuta katika njia isiyo rasmi.

Hivyo muda utatueleza tu maana hakuna mtu aliye na haki juu ya mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…