CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Samia ndiye amuombe Lissu msamaha kwa kutumia Polisi na Mahakama kumuweka kizuizini.Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Si afadhali ya Lissu. Mwaka tu! Tena kesi imesikilizwa sana tu. Mashekhe wa Uamsho walisota more than 8yrs na kesi ilisimama kabisaYaani watu wamemuweka mtu gerezani mwaka unaenda kutimia kwa tuhuma za uhaini halafu ushahidi ni video ya YouTube na mabodaboda na walima mboga za majani.
Kesi imeshapoteza uelekeo jamhuri wanatapatapa wamekimbilia mahakama ya rufani lengo kuu ni kuchelewesha hadi tarehe mwezi wa 4 lile genge la Chande litakapokabidhi ripoti uchwara ya tume uchwara kwa muuaji ambayo wameshapanga hila chafu dhidi ya CHADEMA.
Mimi kama mtu niliyewahi kuishi katika maeneo tofauti ambapo nilishuhudia uvunjifu wa haki uliokithiri ninaelewa matokeo ya watu waliochoka kutafuta haki katika njia rasmi basi wataitafuta katika njia isiyo rasmi.
Hivyo muda utatueleza tu maana hakuna mtu aliye na haki juu ya mwingine.
Hakuna cha afadhali hapa , justice delayed is justice denied.Si afadhali ya Lissu. Mwaka tu! Tena kesi imesikilizwa sana tu. Mashekhe wa Uamsho walisota more than 8yrs na kesi ilisimama kabisa
Hapana, bado ni mapema mno! Kuikomboa nchi si lelemama!Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.
Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.
Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.
Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.
Ndio maana ikawekwa siku ya hukumu baada ya binaadam sote kufariki. Kuziba haya matundu yanaotokea hapa dunianiYaani mhaini anaomba hukumu yake iharakishwe ila waliostaki hawataki kesi I iende kwa haraka ili kuokoa muda na pesa za walipa kodi.
Aibu naona mimi
wamuachie tuMwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.
Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.
Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.
Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.
Ni hisani kesi kusikilizwa?Si afadhali ya Lissu. Mwaka tu! Tena kesi imesikilizwa sana tu. Mashekhe wa Uamsho walisota more than 8yrs na kesi ilisimama kabisa
mbona wacheka mkuuHahahaj
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu kukubaliana na mapingamizi ya Lissu ya kukataa kuingizwa kwa ushahidi mpya.
Mpaka sasa haijajulikana rufaa hiyo itasikilizwa lini ili kesi ya msingi iendelee.
Lissu a aynayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameshakaa gerezani kwa zaidi ya miezi 11 tangu alipokamatwa Aprili 9 na kufunguliwa kesi hiyo Aprili 10, 2025.
Katika barua ya Lissu iliyosainiwa Machi 10, Lissu ameomba rufani hiyo isikilizwe kwa hati ya dharura, huku ikielezwa kuwa hali yake kiafya inazidi kuzorota.
Una "attention seeking disorder" (ASD), yaani ujulikane kwa ujinga unaoandika. Ugonjwa mbaya sana.calm down,
jifunze kuupokea ukweli bila mihemko gentleman
calm down ikiwa uko pointless gentlemanUna "attention seeking disorder" (ASD), yaani ujulikane kwa ujinga unaoandika. Ugonjwa mbaya sana.
You're seeking attention huna lolote.calm down ikiwa uko pointless gentleman
huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi
sina haja na vitu nonsense na useless gentlemanYou're seeking attention huna lolote.
ikiwa hana kosa au hana tuhuma, kuweweseka na njaa kizimbani kuna tokea wapi?Unajua kuna utofauti wa kosa na tuhuma?
Sasa kama kafanya kosa kwa nini hadi sasa awe mbaroni kwa miezi 11 pasipo hukumu ya mahakama?
mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.
ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.
avoid nonsense mayhem bright brain plzCrap from crippled brain. This Tlaatlaah is mental problem case.
Bwabwa la lumumba nakupa taarifa lissu atawauwa Kwa pressure kianzia wewe,mama yenu na wajinga wenzioushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,
ila kwa nature ya kosa lake,
msamaha wa eti kwenye miaka ya 2031 sidhani kama utatolewa,
huenda msamaha wa bada la ya hukumu ya kurestishwa in peace, akapunguziwa na kua life sentence.
Vagabonds have been accumulated foolishly in the government buildings turned ccm offices for foolish purpose.avoid nonsense mayhem bright brain plz
hakuna mtu atauawa Tanzania gentleman,Bwabwa la lumumba nakupa taarifa lissu atawauwa Kwa pressure kianzia wewe,mama yenu na wajinga wenzio