Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

Acha wacheleweshe kesi.
Akifia jela madhara ya mambo watakayo fanya wafuasi wake, Watesi wake wasije kulialia na kuunda tume nyingine.
Hapana.

Kwa nini wafuasi wake na wafuasi wa chama chake na waTanzania wote wapenda haki wasubiri hadi afie gerezani?.

Acha taratibu zitimizwe, na mkondo wa swala utachukuwa nafasi yake kama wahalifu wamedhamiria kuendelea na njia zao za kihalifu.

Nikuulize: ukijuwa mhalifu anakuja kufanya uhalifu kwako, utasubiri hadi afanye huo uhalifu ndipo umshughulikie?

Hawa majambazi wameachwa kuendelea na ujambazi wao kiasi kwamba wameona ndiyo njia yao ya kawaida ya kuendelea kuwa madarakani kwa mabavu.
Ni wakati sasa waTanzania wawashughulikie; siyo kusubiri waendeleze ujambazi wao..
 
A
Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
kili za kipumbavu sana hizi. Ndiyo maana unajiita jina lakishetani hilo.

Waambie mahakama wafanye kazi. Kwani mahakama zipo za nini?
 
Lissu aombe msamaha watanzania wote ili asamehewe. Kwa sababu ni kosa lake la kwanza mahakama inaweza kumhukumu miaka kadhaa halafu kwenye 2031 akatoka kwa msamaha wa Rais.
Sema hapa kwa nini awaombe msamaha watanzania
 
Karne
Karne hii ya 21 ni ujuha kushabikia mambo kuendeshwa kijanjajanja na ndio sababu hawa mawakili wetu zikija kesi za kimataifa tunanyolewa kipumbavu sana
Ni lazima tubadilike kesi inyooke kama mtu wa kuhukumiwa kesi iendeshwe ahukumiwe full stop
 
Uhaini hakuna miaka kadhaa, ni death penalty

So anyongwe au aachiwe huru kwenu CCM
Kuna kitu kinaitwa Court Leniency hasa kama ni kosa lako la mara ya kwanza. Kupitia hiyo mahakama inaweza kupunguza adhabu kwa Lissu akafungwa miaka michache kama 30 hivi badala ya kunyongwa.
 
ushauri wa maana na muhimu sana huu ndugu mdau wa JF,


ila kwa nature ya kosa lake,
msamaha wa eti kwenye miaka ya 2031 sidhani kama utatolewa,
huenda msamaha wa bada la ya hukumu ya kurestishwa in peace, akapunguziwa na kua life sentence.
Lakini mawakili wake wanaweza wakapambana akapewa adhabu ya miaka michache tu kama 30 hivi badala ya kifungo cha maisha.
 
Watanganyika hatujawa serious bado.

Jamiiforums Team fanyeni hivi :

Funga post zote za mpira mapenzi ujinga ujinga Mwingine let’s focus kuzungumzia lililopo mbele yetu.

Tusipokuwa serious tutaendelea kuburuzwa

Ruhusuni kupost yaliyokea Oct29

Tupo kwenye danger zone kuliko ukaburu wa South Africa

It’s now or never.
 
Lissu anapotezwa na kina lema,bora hata Boniyai anaweza kuongoza chama kuliko lissu
 
Ni hisani kesi kusikilizwa?
Hapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
 
Hapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
Hao masheikh ulikatazwa kuwapigia kelele wewe, kwanin hukuwapigia kelele kama wewe huwezi kupiga kelele Kwa Lissu kuwekwa ndani kipumbavu acha by the way hakuna aliyekwambia umpigie kelele Lissu.
 
Nina mashaka sana na hicho kilichopachikwa katikati ya mabega yako. Upumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…